Ras wakambo
Member
- Nov 22, 2011
- 71
- 6
kaka UDSM kachukua DIPLOMA HOLDERS 71 TU. NA KATI YA HAO MTU WA DIPLOMA YA SHERIA NI MMOJA TU. kwann. hivi unajua INSTITUTE OF JUDICIAL ADMINISTRATION, mziki wake. ni zaidi ya udsm asee. WHY? tena mtu mwenyewe ana GPA YA 3.5. mimi nina 4.3, angalia hapo gap hilo kama kigezo ni reputation. IJA NI CHUO CHENYE HESHIMA KUBWA SANA NA CHENYE HISTORA hapa TANZANI[/
jidanganye eti mziki wa kachuo hako ka diploma ni zaidi ya udsm, pole sana hatujasoma ila tunajua unadanganya