ENANTIOMER
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 1,419
- 804
Nyie ndio mlioingia chuo na EEF div 3 za 16.... Hahahaha mtakoma acha vijana wenye akili wakale mema ya nchi.
Akili zako ni za BRN.
Ngoja tuiangalie hiyo EEF ya WAKONGWE na matokeo sawa na hayo kwa upande wa BRN.
MKONGWE alipata
44=E, 43=E na 23=F. Atachaguliwa na TCU akiwa ni mwenye pointi 2.5 (0.5 imechangiwa na GS)
MTOTO WA BRN amepata
44=D, 43=D na 23=E.
Atachaguliwa na TCU akiwa ni mwenye pointi 3 (0.5 imechangiwa na GS)
mwisho wa siku BRN atachaguliwa mapema kabla ya MKONGWE!
Uwe na adabu kijana. Umenikosea heshma kwa kunisifu kwa sifa ambazo si zangu!