Elimu yetu ipo kibaguzi, direct entry ndio wamepewa nafasi zaidi vyuoni

jaman kwa hii nchi yetu tuangalie xana vya kusomea wanasheria mtaan kbao na degree zao sembuse diploma ni sheeeeeeda bongo
 
Wewe jamaa hata hijielewi,sasa kama vyuo ulivyoomba kimebakia Udom si usubiri utapata hapo hapo na Hilo kundi lako kubwa unalolisema litapata hapo hapo.Udom Inayo sifa moja kubwa ya kuzoazoa kwahyo usijari utapata,
 
Tatzo lako uko over ambitious maana ulilenga ud,pole sana labda nikuambie tu kuwa unahaki zote za kupata chuo na bodi ipo kwa niaba ya watz wote regardless lini walimaliza so ungoje tu km udom bado huko huko utapata,usijiwekee uhakika na vitu ambavyo huna maamuz ya moja kwa moja navyo,mengne hayo ni mitazamo tu.
 
sio kweli mkuu, education capacity ilikua 10 wamechukua mmoja tu wakati wengi wenye credit yani gpa 3.5 and above kama entry requirements yao inavyosema tulikua nazo!
Ud wana ubaguzi kama asemavyo mdau hapo juu
 
Ubaguzi unauanzisha wewe mwenyewe ulitaka hao BRN wakasomee Iraq??
 
Sio BRN wala nini... tangu miaka ya nyuma, form VI ndio hupewa first priority kisha ndo wanakuja hao wa Diploma! Tena afadhali siku hizi vyuo ni vingi so, unaweza kupata chance but back then, ungesugua na hiyo diploma hadi ungetia akili... lbda ukapige mzigo kisha
 
STANLEY CHENDELO SOMA HII
11.-(1) Mamlaka ya Nchi itaweka utaratibu unaofaa kwa ajili
ya kufanikisha utekelezaji wa haki ya mtu kufanya kazi, haki ya
kujipatia elimu na haki ya kupata msaada kutoka kwa jamii
wakati wa uzee, maradhi au hali ya ulemavu, na katika hali
nyinginezo za mtu kuwa hajiwezi. Na bila kuathiri haki hizo,
Mamlaka ya Nchii itaweka utaratibu wa kuhakikisha kwamba
kila mtu anaishi kwa jasho lake. HII IBARA YA 11 SUB ARTICLE 1. YA U.R.T.C 1977
 
IBARA YA 11(2)
Kila mtu anayo haki ya kujielimisha, na kila raia
atakuwa huru kutafuta elimu katika fani anayopenda hadi kufikia
upeo wowote kulingana na stahili na uwezo wake.
 
IBARA YA 11 SUB ARTICLE 3
Serikali itafanya jitihada kuhakikisha kwamba watu
wote wanapata fursa sawa na za kutosha kuwawezesha kupata
elimu na mafunzo ya ufundi katika ngazi zote za shule na vyuo
vinginevyo vya mafunzo.
 
NA KATIBA IBARA YA 30 SUB ARTICLE 3 INASEMA
Mtu yeyote anayedai kuwa sharti lolote katika Sehemu hii
ya Sura hii au katika sheria yoyote inayohusu haki yake au
wajibu kwake, limevunjwa, linavunjwa au inaelekea litavunjwa na
mtu yeyote popote katika Jamhuri ya Muungano, anaweza
kufungua shauri katika Mahakama Kuu.
 
ha ha ha ha ha ha ha mkuu kweli umeamua unataka kwenda mahakamani ha ha ha ha ha daah jf kuna mambo tatizo ni udsm tu!!
Nimeamini usemi wa wahenga usemao "siyo kila king'aacho ni dhahabu"
 
Wewe jamaa hata hijielewi,sasa kama vyuo ulivyoomba kimebakia Udom si usubiri utapata hapo hapo na Hilo kundi lako kubwa unalolisema litapata hapo hapo.Udom Inayo sifa moja kubwa ya kuzoazoa kwahyo usijari utapata,

ha ha ha mkuu tengua kauli kuna watu wanakisubiria hicho chuo so ukisema beba beba unauwa ha ha ha ha
 
pia ufaulu wa fm 4 huwa unamata sn. ufaulu mzuri fom 4 unasaidia sn
no thank you,nimewahi kuandika sana hili tena kwa maelezo ya kina. hapo UDSM wanachukuaga mpaka wanafunzi wenye division four za O level kisa advance wamefaulu vizuri. matokeo ya ance ndio huangalia nani apate na nani asipate, o level wanaangalia minimum qualification.
 
hiyo imeingizwa mpaka kwenye system ya kuchagua wanafunzi(program)????? hakuna kitu kama hiki. kuwa system iliyowekwa inazingatia mpaka aina ya chuo ulichoomba. wangekuwa wanachagua manually hapo sawa
 
no thank you,nimewahi kuandika sana hili tena kwa maelezo ya kina. hapo UDSM wanachukuaga mpaka wanafunzi wenye division four za O level kisa advance wamefaulu vizuri. matokeo ya ance ndio huangalia nani apate na nani asipate, o level wanaangalia minimum qualification.
 
IBARA YA 11(2)
Kila mtu anayo haki ya kujielimisha, na kila raia
atakuwa huru kutafuta elimu katika fani anayopenda hadi kufikia
upeo wowote kulingana na stahili na uwezo wake.

Ni kweli kabisa kijana unayo haki kupata elimu pale UDOM kwahyo uwe tyar kule ziko snakes za kutosha maana ni porini,watu wanaenda vyoon bila maji,kuoga ni Mara 1 kwa wiki,scorpion ndo wa kutosha huyo akikuingia kwa pmbu utahisahau hyo diploma yako
 
Hahahahaha jamani naipenda JF.
 
ANGALIA MATOKEO HAYA.
Phys=62, Chem=53 na Math=64.

KWA MFUMO WA BRN.
62=B+, 53 na 64=B+. Hapa dogo kapata division 1 yenye point 7.
Katika selection ya TCU, atahesabiwa ana point 11.

KWA MFUMO WA MULUGO.
62=C, 53=D 64=C. Hapa jamaa ana div 2 yenye point 10.
Katika selection ya TCU, jamaa atahesabiwa ana point 8.

Apo BRN anapewa nafasi mapema, n kama cut off points zitakia ni pointi 10, hapo MTOTO WA MULUGO anatemwa!
 
haah haah haah mkuu mimi nitakua shahidi upande wa mfungua shauri teh teh teh ila usijali kaka elimu lazima tuipate UDOM wakitoa ni uhakika kaka kule inservice ni wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…