Elimu yetu ipo kibaguzi, direct entry ndio wamepewa nafasi zaidi vyuoni

Nyie ndio mlioingia chuo na EEF div 3 za 16.... Hahahaha mtakoma acha vijana wenye akili wakale mema ya nchi.

Akili zako ni za BRN.
Ngoja tuiangalie hiyo EEF ya WAKONGWE na matokeo sawa na hayo kwa upande wa BRN.
MKONGWE alipata
44=E, 43=E na 23=F. Atachaguliwa na TCU akiwa ni mwenye pointi 2.5 (0.5 imechangiwa na GS)
MTOTO WA BRN amepata
44=D, 43=D na 23=E.
Atachaguliwa na TCU akiwa ni mwenye pointi 3 (0.5 imechangiwa na GS)
mwisho wa siku BRN atachaguliwa mapema kabla ya MKONGWE!
Uwe na adabu kijana. Umenikosea heshma kwa kunisifu kwa sifa ambazo si zangu!
 

Kwanza mkuu nianze kwa kukupongeza EEF ulizowahi kupata Alevel huko miaka ya nyuma, Ukilaza wako usiwe sababu ya chuki kwa wengine kwa sababu kuna unajielewa vizuri usingediriki kuandika utumbo wako na uongo.
Mwaka huu E sio principal kaa ukijua.
 
Jamani kama kuna mtu aliyeomba chuo kwa kutumia Equivalent Qualification na amepata naomba tujuzane. Maana mie huku hata usingizi sina?
 
Jamani kama kuna mtu aliyeomba chuo kwa kutumia Equivalent Qualification na amepata naomba tujuzane. Maana mie huku hata usingizi sina?

Duuh ni majanga kwlkwl cyo peke yk ndugu yangu yani 99% ya watu wa equivalent tumebaki na kizungumkuti..inauma sana aisee.
 
Watatoa lini sasa na ukikumbuka bodi ya mikopo sisi haitujui sasa wakichelewa kutoa tutajpanga saa ngapi. Na unaweza kopa mkwanja kumbe chuo hujapata sasa si majanga haya jaman NACTE!
 
daa shida yaaan sijui wametufanyiaje sasa au hatujawaelewe
 
Hivi wandugu huwa mnapitia habari mbalimbali na comment wanazo toa watu. mbona nimeona watu wa diploma kwenye site ya ud. Kwa taarifa yenu matokeo yametoka kwa wote si diploma ambayo mwaiita equivalent sijui yanini na alevel wote yanatoka kwenye source moja tcu. Nacte wataonyesha tu hivi soon kwenye profile yako tujijue tuna nini lkn result zote rasmi zinatolewa na tcu kama walivyotamka kwenye facebook ya NACTE.
 

Kwa maana hiyo UDOM hawachukui watu wa dploma??
 
Duuh ni majanga kwlkwl cyo peke yk ndugu yangu yani 99% ya watu wa equivalent tumebaki na kizungumkuti..inauma sana aisee.
Yaah nikweli ilawapo waliochaguliwa ila ni wachache vbya mnoooo kwa chuo che2 ameenda m1 tu UDSM na wa3 UDOM na wawili SAUT
 
na bdo wanaongezeka ypo wa IAA na mwngne CDTI xo matokeo yanatka kiujumla ila wengi ndowamelambwa
 
Lkn hivyo vyuo haviko ment fo diploma holders na nafasi wanazotoa ni chache pia kwa diploma holders. kama ud huwa hazifiki mia kwa course zote udom huwa kidogo ina jitahidi na vyuo vikuu binafsi. so ka ma uliomba vyuo vikuu pekee especial hivyo vikubwa andika maumivu ardhi na ud hakuna wapya utakao waona zaidi ya hao. vyuo vikuu vya afya kam muhimbili st fransis bugando na kcmc the same na fasibza diploma ni finyu sana. wanao chukuwa diploma wengi ni competent based institution zilizo chini ya nacte na kama uliomba humo na una vigezo utakuwepo vuta subira utaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…