kuna shida moja kwa wagonjwa wanaoenda private hospitals,mara nyingi hujidai ni wajuaji mno!Hata uko kwenye hospitali binafsi zinazo jiendesha kibiashara kunatatizo.dr akishaona msururu wa foleni kubwa ya wagonja anaanza kuharakisha ili ale vichwa zaidi bila kufanya diagnosis ya kina na umakini kwa mgonjwa.ndio maana hat huku kwa nchi zilizoendelea baadhi ya tiba zinafanyika kwa appointment na umakini; dr anaweza piia kushitakiwa ikigundulika kama kuna uzenmbe wake binafsi.
ni mifano tu!no offence!Nashukuru kwa somo lako zuri, ila kwa hiyo sentenc inayotaja TBC, NA MADEREVA WA MAGARI YA MIZIGO, Ungesema walio bize sana , au ambao nature ya kazi zao hawapati muda wa kukutana na wenza wao mara kwa mara kama inavyotakiwa, ina maana wafanyakazi wa TBC Watoto wao wote wana utapiamlo? au madereva wote ndo wenye maambukizi ya vvu? nawasilisha
not truendio lakn shda inakuja pale ambapo wagonjwa ni wengi na mda wa kumsikilza kila mmoja kwa namna hiyo hakuna
Ili suala la kujielezea ndio maana watu hawaponi magonjwa yao coz wengi wetu hatujui kujielezea kwa daktari utajuta ukikutana na daktari mwenyewe anatakiwa kusikiliza wagonjwa 5 kwa siku ila kwenye foleni wapo 50 wanamsubiri ndio kabisaaa balaa juu ya balaaa. Asante sana ngoja nitafute notebook yangu lolSomo zuri sana, ila tatizo la madaktari wetu ni kua unapoanza tu kujielezea hata hujamalizia kumwelezea jinsi unavyojisikia, kashajaza kikaratasi chake, kanyanyuka anakuambia nenda maabara, yaani mgonjwa anabakia kujiuliza sasa mbona hata sijamaaliza kumwelezea tatizo na yeye kashaandika maelezo yamejaa karatasi? Kwa ufupi madaktari wengine wanakua wanaharaka sana huku wakichungulia nje mara kwa mara kuangalia foleni ya watu wanaomsubiria.
ndio lakn shda inakuja pale ambapo wagonjwa ni wengi na mda wa kumsikilza kila mmoja kwa namna hiyo hakuna
hiki kisingizio cha wagonjwa kuwa wengi kinatumiwa sana na watumishi wa afya!ingawa ukimuuliza ameona wagonjwa wangapi kwa siku na avarage time ya kumuona mgonjwa mmoja utakuta hakina ukweli ndani yake.
Kwangu mimi ni heri ukatumia muda mwingi kumuona mgonjwa mmoja vizuri na akapona kuliko kulipua na baadae mgonjwa huyo akakurudia akiwa na complications.
Naamini madaktari waliozoea kutumia utaratibu huu mara kwa mara wanapata uzoefu ambao unawafanya kuhudumia wagonjwa kwa haraka na usahihi.pia kwa uzoefu wangu mgonjwa hujenga imani kubwa ya matibabu iwapo atahojiwa kwa jinsi hii kuliko kuulizwa swali moja na kuambiwa akapime.