ElimuTiba: Jinsi ya kujieleza kwa Daktari

Doktaa ninashida huku chini ya kitovu linatoka kamasi
 
unakuta raia anamwambia daktari nahisi naumwa ugonjwa wa "kisasa".. alafu anaishia hapo.
 
Ni kwamba kweli hivyo?


http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
 
[QUOTEhKI, post: 15387181, member: 164360"]mkuu naomba unikosoe kama nitakosea, mimi ninavyojua hii ni kazi ya daktari, yeye ndo anapashwa kumuuliza mgonjwa hayo maswali na mgonjwa ajibu, yaani mimi niingie tu kwa daktari nianze kujieleza yote hayo bila kuulizwa si nitakuwa KITUKO, daktari ndo aulize maana ndo kasomea na anajua nini anatafuta.[/QUOTE]
Mkuu,kwa namna moja au nyingine upo sawa.Zipo aina mbili za kufanya mahojiano, ya kwanza ndio hii ambapo mgonjwa unakuwa huru kujieleza kila kitu kwa daktari wako, pale daktari akiona unakwenda nje ya mstari ndio ataanza sasa kukuuliza maswali kwa umakini mkubwa ili kuweza kureach diagnosis.Vile vipimo vya maabara huwa na kazi ndogo na muhimu sana, ni kuweza kuconfirm kile alichodiagnosis daktari. Kiutaalam kabisa, kama hakuna urgent case yoyote ile, haushauriwi kuanza kutumia dawa bila kureach ktk final diagnosis ambayo kwa asilimia kubwa humalizwa na mahojiano kati ya mgonjwa na daktari.
 
Asante kwa uzi huu nina mchango ufuatao
1. Kuna baadhi ya Madaktari usikivu, ni mdogo sana kiasi kwamba unamueleza Historia ya ugonjwa yeye yuko busy na Ki -Smartphone chake huku anaitikia kama anakata Gogo.
2. Kundi jingine la Madaktari ni wale ambao hata hujamaliza kujieleza (ifahamike kuwa) watu tunatofautiana kujieleza cha ajabu unashangaa tayari kesha kuandikia kwenda Maabara au hata Dawa.
3. Kundi jingine la Madaktari full kujifagilia Mgonjwa unakuja na Dawa ulizowahi kutumia ili afahamu vizuri Historia ya ugonjwa wako,unaishia kupata kebehi za kuulizwa huyo Daktari aliekuwa anakutibu alisoma wapi kana kwamba sisi Wagonjwa ndo Bodi ya Usajili wa Madaktari.
4. Kundi jingine ni Madaktari wanaotembea na Dawa zao au orodha ya Pharmacy zao hata kama Dawa ziko sehemu nyingine. Mgonjwa unajiuliza tofauti ya Daktari na Mfamasia ni ipi?
 
 
Kwa mfumo wa tiba nchini yalioandikwa ni ndoto. Uwajibikaji wa madaktari hosp za umma ni mdogo. Mpaka saa 4 wapo clinical meeting, wagonjwa wanaumia!.Wengi wapo wapo tu kuweka sign na kwenda kwenye hosp, zahanati au maduka yao ya dawa. Hakuna daktari aliewajibishwa kwa uzembe. Sana watajitetea vifaa tiba hakuna. Wanapeta tu.
 
Dr mimi nina UTI halafu macho hayaoni vizuri naona hii UTI inasababisha.................
 
humo pekundu, ndio nini hasa hicho ulichokiandika, yaani english language hovyo,hadi kiswahili nacho,kweli tuna miongo kadhaa kutoka hapa tu;lipo kwenda hatua moja mbele, wacha mchina aongoze kiswahili maana hakuna namna kama waswahili wenyewe ndio hawa.
 
Mkuu,kwa namna moja au nyingine upo sawa.Zipo aina mbili za kufanya mahojiano, ya kwanza ndio hii ambapo mgonjwa unakuwa huru kujieleza kila kitu kwa daktari wako, pale daktari akiona unakwenda nje ya mstari ndio ataanza sasa kukuuliza maswali kwa umakini mkubwa ili kuweza kureach diagnosis.Vile vipimo vya maabara huwa na kazi ndogo na muhimu sana, ni kuweza kuconfirm kile alichodiagnosis daktari. Kiutaalam kabisa, kama hakuna urgent case yoyote ile, haushauriwi kuanza kutumia dawa bila kureach ktk final diagnosis ambayo kwa asilimia kubwa humalizwa na mahojiano kati ya mgonjwa na daktari.[/QUOTE]
Interview in healthy setting should always be a client centered, doctor should avoid leading the patient,what you must know as a doctor is" a healthy history flows spontaneously from the patient in disorderly manner but the task of organizing the story into a logical sequence is yours, and that is what forming a basis of the medical professional"
 
huwa ni mtihani sana hasa kwa STDs
na lazima tukuulize, mara ya mwisho kufanya social work ulitumia ngao ya mbu...??" ole wako kama ulichepuka vichakani teh teh, just kidding mkuu ucjali, we sema tu kinachokusumbua ,ugonjwa wa mtu ni confidential report, it's me and you but none else and that is why we have been there all the time waiting for you to come,
 
It's okay mkuu, we are not expecting the same sequence of conversation through all patients, in case kama hii ya kwako ,a good physician will ask you like this,Umesema una amoeba sio..!!??, naomba kujua, umejuaje kama hii ni amoeba..??
 
unakuta raia anamwambia daktari nahisi naumwa ugonjwa wa "kisasa".. alafu anaishia hapo.
then it's upto you as a physician to dig in and come out with most likely diagnosis with correct explanation.
 
It's okay mkuu, we are not expecting the same sequence of conversation through all patients, in case kama hii ya kwako ,a good physician will ask you like this,Umesema una amoeba sio..!!??, naomba kujua, umejuaje kama hii ni amoeba..??


Niliwahi enda nikajieleza hivyo ya amoeba direct dooo daktari alikuwa na mood mbaya sijui siku hiyo akaniambia unaanzaje kusema una amoeba kama unajua hivyo ungenunua dawa tangu hapo nilijifunza
 
Niliwahi enda nikajieleza hivyo ya amoeba direct dooo daktari alikuwa na mood mbaya sijui siku hiyo akaniambia unaanzaje kusema una amoeba kama unajua hivyo ungenunua dawa tangu hapo nilijifunza
mkuu, aliamka vibaya tu huyo siku hiyo ila ukweli ni kwamba lazima ufanye tathmini ya haraka kuhusu mgonjwa uliye naye mbele yako,zingatia sana utamadubni wa mahali husika na elimu ya mgonjwa wako, kutoka hapo unaweza jua jinsi ya kumsikiliza na kumhoji, pole kama ilikuwa kwa ukari.
 
Interview in healthy setting should always be a client centered, doctor should avoid leading the patient,what you must know as a doctor is" a healthy history flows spontaneously from the patient in disorderly manner but the task of organizing the story into a logical sequence is yours, and that is what forming a basis of the medical professional"[/QUOTE]
Am categoricaly not buying it,maybe it depends on ur profs which taught u.From my simple semiology knowledge, the dialogue dépend on the docter and patients too.Your questions are the guidline.
 
Umeeleza kila kitu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…