funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Huyu ni Mzee aliyeingia bungeni huko Marekani toka miaka ya 89 yaani huwezi kumtofautisha na mzee Wassira kwa kung'ang'ania cheo.
Huyu ndiye mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje kwenye bunge la Marekani.
ni mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga na pia alikuwa ni mmoja wanaompinga Rais Trump.
Mwaka 2017 alikuwa ni mmoja wa wajumbe wale wale walioandaa waraka au barua yenye maudhui kama haya ya sasa kwenda kwa Rais Magufuli.
Unaweza kujiuliza kwa nini chokochoko ile ile inaletwa upya na watu wale wale?
JIBU BAKI NALO Ila wenye nchi yao wameshajua.
NAPITA TU