Tena kwa dharau sana na majigambo mara ooh msaliti tunakupoteza, ilifika hatua hata hapa JFs ukimpiga kwa hoja akishindwa kukujibu anakutisha eti ooh tutakufanya kama Ben saanane. Mara ooh utajikuta uko peke yako na chui.Acha kuweweseka mmemuua Ben saanane na Azory gwanda!!!!!!taarabu za nini???