phunter
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 540
- 264
Kwani unadhani hatua hazijachukuliwa?
Hii ni awamu KONKI mzee baba!
Marekani ina utawala Bora???????Hawachochei vurugu. Moja ya tuhuma zao ni ukosefu wa utawala bora ulioko serikali ya awamu ya tano.
Spika na Jaji mkuu wanabariki kukandamizwa kwa wakosoaji..
CAG anateuliwa kwa kigezo cha kuficha madudu.
Hakika..ulichobakiwa kichwani ni Fuvu tu.....Huyu ni Mzee aliyeingia bungeni huko Marekani toka miaka ya 89 yaani huwezi kumtofautisha na mzee Wassira kwa kung'ang'ania cheo.
Huyu ndiye mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje kwenye bunge la Marekani.
ni mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga na pia alikuwa ni mmoja wanaompinga Rais Trump.
Mwaka 2017 alikuwa ni mmoja wa wajumbe wale wale walioandaa waraka au barua yenye maudhui kama haya ya sasa kwenda kwa Rais Magufuli.
Unaweza kujiuliza kwa nini chokochoko ile ile inaletwa upya na watu wale wale?
JIBU BAKI NALO Ila wenye nchi yao wameshajua.
NAPITA TU
Naona unakunya mavi makubwa sana.dunia ya sasa haidanganyiki na kupigwa mikwara
Na wao marekani wako je. Waache kuingilia masuala ya ndani ya nchi. Mambo yetu watuachie wenyewe.Hawachochei vurugu. Moja ya tuhuma zao ni ukosefu wa utawala bora ulioko serikali ya awamu ya tano.
Spika na Jaji mkuu wanabariki kukandamizwa kwa wakosoaji..
CAG anateuliwa kwa kigezo cha kuficha madudu.
Siyo mtoto kusoma akiwa na mimba,Bali akisha jifungua na mtoto kuweza kubaki na mlezi wake nyumbani ***** arudi shule maana elimu haina mwisho.Kwani kama taifa, msimamo wetu katika hili suala la elimu ukoje: tunaruhusu watoto wetu wa kike wasome wakiwa na mimba na watoto, au haturuhusu?
Mimi sina shida kabisa na yote hayo Mkuu.Siyo mtoto kusoma akiwa na mimba,Bali akisha jifungua na mtoto kuweza kubaki na mlezi wake nyumbani ***** arudi shule maana elimu haina mwisho.
Na tambua hiyo pesa inayotolewa kila mwaka hawa watoto pia hiyo pesa inawahusu,sasa Kama mtoto alopata ujauzto haruhusiwi kuendelea na shule,beberu aendelee kutoa misaada ya Nini ukizngatia pia walijumuishwa katika hiyo misaada?.
Logic yake tulikuwa tinamuibia au tumemdanganya beberu
Pindi cha nyuma Kama sijakosea utawala ulopita,kulikuwepo na muongozo,kuwa mwanafunzi akipata ujauzito,baada ya kujitungua mtoto akakua kidogo arudi shule kuendelea na masomo japo halikuwa written kwenda kwenye taasisi znazohusika,na nahisi misaada mingi ya elimu ilimiminika sababu ya kuwa na huu mtizamo juu ya hili kundi.Mimi sina shida kabisa na yote hayo Mkuu.
Shida yangu ipo kwenye kutambua msimamo wa Kikatiba wa nchi yetu katika hili suala ukoje.
Sina interest na maoni au mtazamo wa watu kwenye hili suala. Ninataka nione Katiba inasemaje.
Kama halipo kwenye Katiba, tuangalie sera ya chama tawala (kupitia ilani yao) inasemaje. Basi.
Mwambieni ndugai amtimue bungeni.Huyu ni Mzee aliyeingia bungeni huko Marekani toka miaka ya 89 yaani huwezi kumtofautisha na mzee Wassira kwa kung'ang'ania cheo.
Huyu ndiye mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje kwenye bunge la Marekani.
ni mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga na pia alikuwa ni mmoja wanaompinga Rais Trump.
Mwaka 2017 alikuwa ni mmoja wa wajumbe wale wale walioandaa waraka au barua yenye maudhui kama haya ya sasa kwenda kwa Rais Magufuli.
Unaweza kujiuliza kwa nini chokochoko ile ile inaletwa upya na watu wale wale?
JIBU BAKI NALO Ila wenye nchi yao wameshajua.
NAPITA TU
Hivi kweli Watanzania hatujui Makonda ni muuaji?Kwanini mnamtetea muuaji?
Acheni kutuua, tabia gani mnashabikia ushetani wa Makonda wa kuteka watu na kuua?Kwa nini Makonda atuletee shida mtu mmoja yeye ni nani haguswi nchi hii?Na wao marekani wako je. Waache kuingilia masuala ya ndani ya nchi. Mambo yetu watuachie wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaliyosemwa yote kwenye ile barua hakuna hata moja ambalo watanzania hatujalalamikia kwenye hii serikli ya ccm acheni kujificha.Huyu ni Mzee aliyeingia bungeni huko Marekani toka miaka ya 89 yaani huwezi kumtofautisha na mzee Wassira kwa kung'ang'ania cheo.