Huyu ni Mzee aliyeingia bungeni huko Marekani toka miaka ya 89 yaani huwezi kumtofautisha na mzee Wassira kwa kung'ang'ania cheo.
Huyu ndiye mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje kwenye bunge la Marekani.
ni mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga na pia alikuwa ni mmoja wanaompinga Rais Trump.
Mwaka 2017 alikuwa ni mmoja wa wajumbe wale wale walioandaa waraka au barua yenye maudhui kama haya ya sasa kwenda kwa Rais Magufuli.
Unaweza kujiuliza kwa nini chokochoko ile ile inaletwa upya na watu wale wale?
JIBU BAKI NALO Ila wenye nchi yao wameshajua.
NAPITA TU
Anatumiwa na akina Bashite wanapoka haki ya Msingi ya watu kuishiHuyu ni Mzee aliyeingia bungeni huko Marekani toka miaka ya 89 yaani huwezi kumtofautisha na mzee Wassira kwa kung'ang'ania cheo.
Huyu ndiye mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje kwenye bunge la Marekani.
ni mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga na pia alikuwa ni mmoja wanaompinga Rais Trump.
Mwaka 2017 alikuwa ni mmoja wa wajumbe wale wale walioandaa waraka au barua yenye maudhui kama haya ya sasa kwenda kwa Rais Magufuli.
Unaweza kujiuliza kwa nini chokochoko ile ile inaletwa upya na watu wale wale?
JIBU BAKI NALO Ila wenye nchi yao wameshajua.
NAPITA TU
Na sisi kama Tanzania, sheria zetu za nchi zinasemaje: wanaruhusiwa au hawaruhusiwi?Hata US hakuna wajawazito darasani
Hoja ya Zitto umeielewa?Tukijua kama tunaruhusu au haturuhusu watoto wetu wa kike wasome wakiwa na mimba na watoto, tunaweza kujua nani yupo sahihi kati ya Zitto na Serikali.
Hapo Lumumba kumbe hamfahamiani!!??Kasome
Ipe serikali ya Tz hizo $500m badala ya kung'ang'ana na US...Kwani kama taifa, msimamo wetu katika hili suala la elimu ukoje: tunaruhusu watoto wetu wa kike wasome wakiwa na mimba na watoto, au haturuhusu?