Tena kwa dharau sana na majigambo mara ooh msaliti tunakupoteza, ilifika hatua hata hapa JFs ukimpiga kwa hoja akishindwa kukujibu anakutisha eti ooh tutakufanya kama Ben saanane. Mara ooh utajikuta uko peke yako na chui.Acha kuweweseka mmemuua Ben saanane na Azory gwanda!!!!!!taarabu za nini???
Muda wake umebaki mchache, ni kama mfungwa aliyehukumiwa kunyongwa. Acha ale anachotaka anakaribia kunyongwa.Makonda kàwajibu US, hongera sana jembe! Hakuna kurudi nyuma, marekani kitu gani bhana?? Hata kupandikiza watoto tutafanyia chinaView attachment 1343382
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnataka muue tu halafu dunia iwachekee. Hicho kichaka chenu cha ushoga hakina nguvu kwani huko CCM yamejaa mashoga kibao.Huyu ni Mzee aliyeingia bungeni huko Marekani toka miaka ya 89 yaani huwezi kumtofautisha na mzee Wassira kwa kung'ang'ania cheo.
Huyu ndiye mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje kwenye bunge la Marekani.
ni mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga na pia alikuwa ni mmoja wanaompinga Rais Trump.
Mwaka 2017 alikuwa ni mmoja wa wajumbe wale wale walioandaa waraka au barua yenye maudhui kama haya ya sasa kwenda kwa Rais Magufuli.
Unaweza kujiuliza kwa nini chokochoko ile ile inaletwa upya na watu wale wale?
JIBU BAKI NALO Ila wenye nchi yao wameshajua.
NAPITA TU
Ooh! Ahsante sana Mkuu.Pindi cha nyuma Kama sijakosea utawala ulopita,kulikuwepo na muongozo,kuwa mwanafunzi akipata ujauzito,baada ya kujitungua mtoto akakua kidogo arudi shule kuendelea na masomo japo halikuwa written kwenda kwenye taasisi znazohusika,na nahisi misaada mingi ya elimu ilimiminika sababu ya kuwa na huu mtizamo juu ya hili kundi.
Ila utawala huu ulipoingia ukaja na yake.
Hapo ndo shida imeanzia baada ya Hawa jamaa kutonywa kuwa pesa yenu haitumiki Kama mlivo aminishwa
Huyu ni Mzee aliyeingia bungeni huko Marekani toka miaka ya 89 yaani huwezi kumtofautisha na mzee Wassira kwa kung'ang'ania cheo.
Huyu ndiye mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje kwenye bunge la Marekani.
ni mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga na pia alikuwa ni mmoja wanaompinga Rais Trump.
Mwaka 2017 alikuwa ni mmoja wa wajumbe wale wale walioandaa waraka au barua yenye maudhui kama haya ya sasa kwenda kwa Rais Magufuli.
Unaweza kujiuliza kwa nini chokochoko ile ile inaletwa upya na watu wale wale?
JIBU BAKI NALO Ila wenye nchi yao wameshajua.
NAPITA TU
Hata US hakuna wajawazito darasani
Na wao marekani wako je. Waache kuingilia masuala ya ndani ya nchi. Mambo yetu watuachie wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anamchochea nani vs nani?Huyu ni Mzee aliyeingia bungeni huko Marekani toka miaka ya 89 yaani huwezi kumtofautisha na mzee Wassira kwa kung'ang'ania cheo.
Huyu ndiye mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje kwenye bunge la Marekani.
ni mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga na pia alikuwa ni mmoja wanaompinga Rais Trump.
Mwaka 2017 alikuwa ni mmoja wa wajumbe wale wale walioandaa waraka au barua yenye maudhui kama haya ya sasa kwenda kwa Rais Magufuli.
Unaweza kujiuliza kwa nini chokochoko ile ile inaletwa upya na watu wale wale?
JIBU BAKI NALO Ila wenye nchi yao wameshajua.
NAPITA TU
Mataga.huyu mtu anaitafuta Tanzania?
Unakoelekea utaphilwanilishawahi kukosa kazi kwa maslahi ya TANZANIA...Usitutishe..!!