Eliot Engel anatumiwa na nani kutaka kuchochea vurugu Tanzania?

CCM na Serikali yake ilishatambua hawa wapuuzi na connection zao hapa nchini...
WE ARE IN CONTROL OF EVERYTHING
 
Hawachochei vurugu. Moja ya tuhuma zao ni ukosefu wa utawala bora ulioko serikali ya awamu ya tano.
Spika na Jaji mkuu wanabariki kukandamizwa kwa wakosoaji..
CAG anateuliwa kwa kigezo cha kuficha madudu.
Akijibu hii unitag.
 
Nami napita ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…