..na pia kama ulimsikia alipohojiwa na mwandishi amesema.." if yo can win a marathon you can even kick of diseases.." kwa uelewa wangu sehemu ya akipatacho ktk riadha anaweza kuisaidia jamii, kiafya.Kukimbia na.amani wapi na.wapi ndg yangu lakini wazo lako ni zuri kwamba mkimbiaji huyo baada ya kushinda furaha anaileta katika jamii hii NI baada ya kutafakari kwa kina.
wa kuiba kura je, mliozoea tangu mwaka 1995 , mlijifunzia wapi kama si china kwa mabwanyenyeRiadha naona ni mchezo wa kitumwa bwenyenye limekaa ana angalia unavyo kimbia
Nimecheka mpaka watu wamenishangaa duh! chukuwa soda hapo kwa mangi dukani nakulipia mkuu 😂 😂 😂 😂NA amemshukuru Mungu tu na familia yake na wakenya kwa ujumla, hapa Bongo mtu kajimwambafy yaani hata sisi wanawake tukipewa ujauzito utaskia nashukuru serikali imekuwwezesha kunipa ujauzito
Munaowaabudu wazungu ndo mujue kama hawapendi kuona wa Afrika wanafanya vizur, eti rekodi hsitatambuliwa kwan kukimbua c ndo kulekule au hamna wanachogombania hapo ?. Angekuwa mzungu unazani wangesema rekodi hiyo haitatambuliwa?Ni ngumu kumeza hii, huyu Mkenya anataka kufanya kitu ambacho hakiingii akilini, sijui nini anawaza muda huu, neno 'badass' litapata maana na tafsiri mpya leo.
Mbio zenyewe ataanza 09:15am
Kwa watani wetu wa Kusini, ili kuwapa picha ya umbali anaokimbia chini ya masaa mawili, ni kama kutoka Dar hadi Mlandizi, kwa ndugu zangu hapa Kenya hiyo ni kama kutoka Nairobi hadi Lari.
TV nyingi duniani zitapeperusha moja kwa moja mubashara, hata zetu hapa Kenya naona zimeweka live, anajadiliwa kitaani nyumba kwa nyumba. Muhimu sana maana inawapa hamasa vijana wengi kwamba linawezekana na itawezekana.
Pia kampuni ya Youtube inapeperusha mubashara
----UPDATE----
Eliud Kipchoge ran a staggering 1:59:40, shattering the mythical sub-two marathon barrier as he completed the #INEOS Challenge in majestic fashion on the streets of Vienna
--
ELIUD KIPCHOGE: MWANARIADHA WA KWANZA KUKIMBIA KM 42 KWA CHINI YA SAA 2
Mwanariadha raia wa Kenya, Eliud Kipchoge ameweka rekodi ya kuwa Mwanariadha wa kwanza Duniani kumaliza mbio za marathon kwa muda wa chini ya saa mbili
View attachment 1230550
Kipchoge mwenye miaka 34, amekimbia Kilometa 42.2 kwa kutumia muda wa saa 1, dakika 59 na sekunde 40 kwenye michuano ya Ineos 1:59 huko Vienna, Australia
Hata hivyo, rekodi hiyo haitatambuliwa kama rekodi rasmi Ulimwenguni kwasababu ameweka rekodi hiyo katika michuano isiyo ya wazi
Aidha, katika jaribio lake la mwisho kutaka kuweka rekodi hiyo mnamo mwaka 2017 alishindwa kwa sekunde 25
Kisha kuna wajinga wame like hii analysis yako ya ki nafiki...
Nadhani sai unaona aibu ulipo
With thanks ndio maana nimesema baada ya kutafakari kwa kina sanaaaaaa..na pia kama ulimsikia alipohojiwa na mwandishi amesema.." if yo can win a marathon you can even kick of diseases.." kwa uelewa wangu sehemu ya akipatacho ktk riadha anaweza kuisaidia jamii, kiafya.
#NoManIsLimited
Uko wapi? Maana hayajapita masaa 6
Tatizo huwa mnatumia makwapa kufikiria ndio maana hamuwezi kuona kitu,
Mfano mdogo jana niliwaambia mthibitishe kitu mmeshindwa, bla bla nyingi.
Miaka 34 amekomaa hivi!!!? Nyie wakenya sura zenu huwa hazina ushirikiano na umri wenu ndo maana dada zenu wanakimbilia wanaume wa Tizii.Ni ngumu kumeza hii, huyu Mkenya anataka kufanya kitu ambacho hakiingii akilini, sijui nini anawaza muda huu, neno 'badass' litapata maana na tafsiri mpya leo.
Mbio zenyewe ataanza 09:15am
Kwa watani wetu wa Kusini, ili kuwapa picha ya umbali anaokimbia chini ya masaa mawili, ni kama kutoka Dar hadi Mlandizi, kwa ndugu zangu hapa Kenya hiyo ni kama kutoka Nairobi hadi Lari.
TV nyingi duniani zitapeperusha moja kwa moja mubashara, hata zetu hapa Kenya naona zimeweka live, anajadiliwa kitaani nyumba kwa nyumba. Muhimu sana maana inawapa hamasa vijana wengi kwamba linawezekana na itawezekana.
Pia kampuni ya Youtube inapeperusha mubashara
----UPDATE----
Eliud Kipchoge ran a staggering 1:59:40, shattering the mythical sub-two marathon barrier as he completed the #INEOS Challenge in majestic fashion on the streets of Vienna
--
ELIUD KIPCHOGE: MWANARIADHA WA KWANZA KUKIMBIA KM 42 KWA CHINI YA SAA 2
Mwanariadha raia wa Kenya, Eliud Kipchoge ameweka rekodi ya kuwa Mwanariadha wa kwanza Duniani kumaliza mbio za marathon kwa muda wa chini ya saa mbili
View attachment 1230550
Kipchoge mwenye miaka 34, amekimbia Kilometa 42.2 kwa kutumia muda wa saa 1, dakika 59 na sekunde 40 kwenye michuano ya Ineos 1:59 huko Vienna, Australia
Hata hivyo, rekodi hiyo haitatambuliwa kama rekodi rasmi Ulimwenguni kwasababu ameweka rekodi hiyo katika michuano isiyo ya wazi
Aidha, katika jaribio lake la mwisho kutaka kuweka rekodi hiyo mnamo mwaka 2017 alishindwa kwa sekunde 25
Kelele zooote kumbe haitambuliki...hata mie nina rekodi yangu ila haitambuliki...
Najua wivu ndo inakusumbuaNdiyo ukweli wa mambo.
Na hii ndiyo sababu hakuna respectable international athletics body inayoitambua hii time kama a world record.
Wakenya wanaketa habari za "My country, right or wrong".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeHaya ni matangazo ya biashara, si rekodi ya riadha.
Ukiniambia mnataka watu wataje Kenya nitakuelewa.
Ukiniambia kavunja rekodi ya marathon notasema wewe ni sawa na mtu anayetafuta kupata mtoto kwa kupiga punyeto na ku flush manii.
Katika marathon, alichofanya Kipchoge ni punyeto.
Unalijua punyeto wewe?
kiranga waonee huruma wakenya. hoja zako zitawafanya wapasue device zao wanazotumia kuingia jf.Rekodi mpya ya nini? Masturbation?
#NoHumanIsLimited
Usain Bolt alikimbia meter 100 chini ya sekunde 10 (9.58 to be exact), meaning kila sekunde moja alikuwa anaruka meter 10. Let that sink in!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Haya ni matangazo ya biashara, si rekodi ya riadha.
Ukiniambia mnataka watu wataje Kenya nitakuelewa.
Ukiniambia kavunja rekodi ya marathon notasema wewe ni sawa na mtu anayetafuta kupata mtoto kwa kupiga punyeto na ku flush manii.
Katika marathon, alichofanya Kipchoge ni punyeto.
Unalijua punyeto wewe?
Prophets of doom washapewa aibu. Kabla ya leo ungefaa kujua kwamba alibakisha tu sekunde 26 kutimiza hii ndoto, rekodi ambayo pia aliweka yeye mwenyewe. Chuki ni kitu mbaya sana
Walio na sifa za kitabibu na usomi wa saikolojia kuagua nani chizi na nani si chizi, maadili ya taaluma yao yanawakataza kuagua hivyo mitandaoni kuhusu watu ambao hawajakutana nao.
Wanaoagua hivyo kijumlajumla mitandaoni, hawana sifa za kitabibu wala usomi wa saikolojia wa kuagua nani chizi na nani si chizi.
Una haki ya kikatiba kuniona mimi chizi, lakini hilo halimaanishi mimi chizi kweli.
Zaidi, uvovu wako wa fikra kitabia umekufanya ushindwe hata kuonesha uchizi wangu uko wapi.
Mwisho, ni tabia inayoeleweka kwa wasomi wengi wa saikolojia kwamba machizi wengi huwaona watu wengine ndio machizi, huona wao si machizi.