Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Kukimbia na.amani wapi na.wapi ndg yangu lakini wazo lako ni zuri kwamba mkimbiaji huyo baada ya kushinda furaha anaileta katika jamii hii NI baada ya kutafakari kwa kina.
..na pia kama ulimsikia alipohojiwa na mwandishi amesema.." if yo can win a marathon you can even kick of diseases.." kwa uelewa wangu sehemu ya akipatacho ktk riadha anaweza kuisaidia jamii, kiafya.
#NoManIsLimited
 
NA amemshukuru Mungu tu na familia yake na wakenya kwa ujumla, hapa Bongo mtu kajimwambafy yaani hata sisi wanawake tukipewa ujauzito utaskia nashukuru serikali imekuwwezesha kunipa ujauzito
Nimecheka mpaka watu wamenishangaa duh! chukuwa soda hapo kwa mangi dukani nakulipia mkuu 😂 😂 😂 😂
 
Ni ngumu kumeza hii, huyu Mkenya anataka kufanya kitu ambacho hakiingii akilini, sijui nini anawaza muda huu, neno 'badass' litapata maana na tafsiri mpya leo.

Mbio zenyewe ataanza 09:15am
Kwa watani wetu wa Kusini, ili kuwapa picha ya umbali anaokimbia chini ya masaa mawili, ni kama kutoka Dar hadi Mlandizi, kwa ndugu zangu hapa Kenya hiyo ni kama kutoka Nairobi hadi Lari.

TV nyingi duniani zitapeperusha moja kwa moja mubashara, hata zetu hapa Kenya naona zimeweka live, anajadiliwa kitaani nyumba kwa nyumba. Muhimu sana maana inawapa hamasa vijana wengi kwamba linawezekana na itawezekana.

Pia kampuni ya Youtube inapeperusha mubashara

----UPDATE----

Eliud Kipchoge ran a staggering 1:59:40, shattering the mythical sub-two marathon barrier as he completed the #INEOS Challenge in majestic fashion on the streets of Vienna

--
ELIUD KIPCHOGE: MWANARIADHA WA KWANZA KUKIMBIA KM 42 KWA CHINI YA SAA 2

Mwanariadha raia wa Kenya, Eliud Kipchoge ameweka rekodi ya kuwa Mwanariadha wa kwanza Duniani kumaliza mbio za marathon kwa muda wa chini ya saa mbili
View attachment 1230550
Kipchoge mwenye miaka 34, amekimbia Kilometa 42.2 kwa kutumia muda wa saa 1, dakika 59 na sekunde 40 kwenye michuano ya Ineos 1:59 huko Vienna, Australia

Hata hivyo, rekodi hiyo haitatambuliwa kama rekodi rasmi Ulimwenguni kwasababu ameweka rekodi hiyo katika michuano isiyo ya wazi

Aidha, katika jaribio lake la mwisho kutaka kuweka rekodi hiyo mnamo mwaka 2017 alishindwa kwa sekunde 25

Munaowaabudu wazungu ndo mujue kama hawapendi kuona wa Afrika wanafanya vizur, eti rekodi hsitatambuliwa kwan kukimbua c ndo kulekule au hamna wanachogombania hapo ?. Angekuwa mzungu unazani wangesema rekodi hiyo haitatambuliwa?
 
Kisha kuna wajinga wame like hii analysis yako ya ki nafiki...

Nadhani sai unaona aibu ulipo

Kweli jamii forum kuna watu wa ajabu ajabu kiwango cha lami

Sasa unafiki wangu ulikua wapi apo kwenye post yangu?

Na kwanini nione aibu?

Kuwa japo na fikra chanya kidogo,nilichokifanya ni kujaribu kukuwekea picha ya uhalisia wa umbali anaotakiwa kukimbia na kwa kutumia mda gani...

Pengine yawezekana hata wewe ulivyosikia 42km/2hrs haukuelewa ugumu wake kiuhalisia, mpaka nilivyokuchambulia kwa mapana ndo ukaona ugumu...

Baada ya kukuchambulia na kufaham ugumu wake unatakiwa unishukuru kwa kukuongezea chachu ya kumuangalia kama kweli ataweza au laah!!

All in all jamaa ni mwamba na anastahili pongezi ..Yeees ameweza!!!

N.B
Analysis yangu na calculation iliyonipa umbali wa 5.8km kwa sekunde,nili assume kama atakimbia uniformly speed from the start to the end.

Lakini watu wa riadha tunajua technical zetu hasa hizi mbio za marathon,hapa kuna kitu tunakiita 'splitting time'.Acha niishie hapa nisije kukuchanganya bure maana wengine ubongo wenu ni mzito kuelewa.
 
..na pia kama ulimsikia alipohojiwa na mwandishi amesema.." if yo can win a marathon you can even kick of diseases.." kwa uelewa wangu sehemu ya akipatacho ktk riadha anaweza kuisaidia jamii, kiafya.
#NoManIsLimited
With thanks ndio maana nimesema baada ya kutafakari kwa kina sanaaaaaa
 
Sina mda na hayo unayotaka kuyaleta...
Rudi kwenye mada au ukae kimya
Tatizo huwa mnatumia makwapa kufikiria ndio maana hamuwezi kuona kitu,
Mfano mdogo jana niliwaambia mthibitishe kitu mmeshindwa, bla bla nyingi.
 
Ni ngumu kumeza hii, huyu Mkenya anataka kufanya kitu ambacho hakiingii akilini, sijui nini anawaza muda huu, neno 'badass' litapata maana na tafsiri mpya leo.

Mbio zenyewe ataanza 09:15am
Kwa watani wetu wa Kusini, ili kuwapa picha ya umbali anaokimbia chini ya masaa mawili, ni kama kutoka Dar hadi Mlandizi, kwa ndugu zangu hapa Kenya hiyo ni kama kutoka Nairobi hadi Lari.

TV nyingi duniani zitapeperusha moja kwa moja mubashara, hata zetu hapa Kenya naona zimeweka live, anajadiliwa kitaani nyumba kwa nyumba. Muhimu sana maana inawapa hamasa vijana wengi kwamba linawezekana na itawezekana.

Pia kampuni ya Youtube inapeperusha mubashara

----UPDATE----

Eliud Kipchoge ran a staggering 1:59:40, shattering the mythical sub-two marathon barrier as he completed the #INEOS Challenge in majestic fashion on the streets of Vienna

--
ELIUD KIPCHOGE: MWANARIADHA WA KWANZA KUKIMBIA KM 42 KWA CHINI YA SAA 2

Mwanariadha raia wa Kenya, Eliud Kipchoge ameweka rekodi ya kuwa Mwanariadha wa kwanza Duniani kumaliza mbio za marathon kwa muda wa chini ya saa mbili
View attachment 1230550
Kipchoge mwenye miaka 34, amekimbia Kilometa 42.2 kwa kutumia muda wa saa 1, dakika 59 na sekunde 40 kwenye michuano ya Ineos 1:59 huko Vienna, Australia

Hata hivyo, rekodi hiyo haitatambuliwa kama rekodi rasmi Ulimwenguni kwasababu ameweka rekodi hiyo katika michuano isiyo ya wazi

Aidha, katika jaribio lake la mwisho kutaka kuweka rekodi hiyo mnamo mwaka 2017 alishindwa kwa sekunde 25

Miaka 34 amekomaa hivi!!!? Nyie wakenya sura zenu huwa hazina ushirikiano na umri wenu ndo maana dada zenu wanakimbilia wanaume wa Tizii.
 
Ndiyo ukweli wa mambo.

Na hii ndiyo sababu hakuna respectable international athletics body inayoitambua hii time kama a world record.

Wakenya wanaketa habari za "My country, right or wrong".
Najua wivu ndo inakusumbua
IMG_20191012_142744_130.jpg
 
Haya ni matangazo ya biashara, si rekodi ya riadha.

Ukiniambia mnataka watu wataje Kenya nitakuelewa.

Ukiniambia kavunja rekodi ya marathon notasema wewe ni sawa na mtu anayetafuta kupata mtoto kwa kupiga punyeto na ku flush manii.

Katika marathon, alichofanya Kipchoge ni punyeto.

Unalijua punyeto wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee
 
Pongezi nyingi zimfikie MTANZANIA MWENZETU huyu aishiye nchini Kenya.
 
#NoHumanIsLimited

Usain Bolt alikimbia meter 100 chini ya sekunde 10 (9.58 to be exact), meaning kila sekunde moja alikuwa anaruka meter 10. Let that sink in!

Yes ! that's its true. 10metre in a seconds

haimaanishi kwamba kila mguu aliokuwa ananyanyua na kuutua basi alikua anacover metre 10 ndani ya sekunde no!!

Alikuwa anapiga hatua nyingi ndani ya sekunde moja ambazo izo hatua zinakuwa zimecover 10metres

Hapo naamini umepata picha kidogo, yaan hatua moja alikua akiipiga ndani ya mill seconds,au half a seconds

Ukiangalia splint yake kwa very slow motion, utaziona izo hatua.
 
Haya ni matangazo ya biashara, si rekodi ya riadha.

Ukiniambia mnataka watu wataje Kenya nitakuelewa.

Ukiniambia kavunja rekodi ya marathon notasema wewe ni sawa na mtu anayetafuta kupata mtoto kwa kupiga punyeto na ku flush manii.

Katika marathon, alichofanya Kipchoge ni punyeto.

Unalijua punyeto wewe?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Prophets of doom washapewa aibu. Kabla ya leo ungefaa kujua kwamba alibakisha tu sekunde 26 kutimiza hii ndoto, rekodi ambayo pia aliweka yeye mwenyewe. Chuki ni kitu mbaya sana

Ukiwa na moyo wa chuki basi unahisi kila mtu nae atakuwa na chuki kama wewe

Very poor arguiment,rudia tena kusoma comment yangu.
 
Walio na sifa za kitabibu na usomi wa saikolojia kuagua nani chizi na nani si chizi, maadili ya taaluma yao yanawakataza kuagua hivyo mitandaoni kuhusu watu ambao hawajakutana nao.

Wanaoagua hivyo kijumlajumla mitandaoni, hawana sifa za kitabibu wala usomi wa saikolojia wa kuagua nani chizi na nani si chizi.

Una haki ya kikatiba kuniona mimi chizi, lakini hilo halimaanishi mimi chizi kweli.

Zaidi, uvovu wako wa fikra kitabia umekufanya ushindwe hata kuonesha uchizi wangu uko wapi.

Mwisho, ni tabia inayoeleweka kwa wasomi wengi wa saikolojia kwamba machizi wengi huwaona watu wengine ndio machizi, huona wao si machizi.

Hehehe!! Wee jamaa lakini, ila huwa nafuatilia unavyopenda kuwa pain in the ass kwa wote, sio kwa Watanzania wala Wakenya, una hulka ya kuchagua popular thread, kisha unatafuta jinsi ya kukinzana na maoni ya wote.
Haya bwana....
 
Back
Top Bottom