Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 960
- 927
Na leo naona umewashika wanatukana hovyo! Ukiona nyang'au anatukana ujue hana hoja!Wakenya wetu hapa ukiwaambia ukweli huu wanakasirika.
Hivi msapere si kikuyuMsapere ni kabila la Kariuki?
milking milking milked
Haiyaa...itabidi apimwe. ..Mtoto wa Mumbi 😂 😂
Ona sasa mlivyokuwa low..yaani kuweka rekodi mpaka kuwa laivu..
sisi tunashingilia ushindi wa mtanzania mwenzetu. wakenya endeleeni kupata hasira.
View attachment 1230774View attachment 1230775
Ona wanaopenda misifa ya bure sasa. Endeleeni kutoa povu. Hivi umlinganishe Eliud Kipchoge na kinyangarika kama Harmonize? [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kukosa heshima kabisa.Mi mwenywe nashangaa...anataka kumfananisha kipchoge na vitu vya kijinga
Who are they milking? Our own Kipchoge is coming home with $4,000,000 plus numerous endorsements. That's all that matters. Ama unadhani ni Wakenya watakaotoa hizo hela? Stop being stupid. 😅 😅milking milking milked
Hivi msapere si kikuyu
Ameendeleza ubabe wa Wakalenjin kwenye marathon. Nyie Wakikuyu endeleeni na juhudi zenu za kupekejeng mbwa na wizi.
ccm hoyeeee...CCM HOYEEEE...
Ametekeleza ilani ya ccm...chadema leo hutowaona hku
Hehehe!! Duh unatumia nguvu nyingi kuteseka, kila bnadamu ana asili, ametokea kwenye jamii fulani, Kipchoge ametokea kwa familia, ukoo, kabila, taifa, kanda, bara na dunia yake. Kwa hivyo sisi tumeunganishwa naye kwenye level ya taifa, na tunajivunia hilo, ndio kama nyie Wachagga jinsi huwa mnajivunia Harmonize japo yeye Mmakonde na hana undugu wowote na Wachagga au yule Mrundi anaitwa Diamond.
Pia Watanzania wameunganishwa na Kipchoge kwenye level ya ukanda wa Afrka Mashariki na Afrika, Mtanzania yeyote aliyekua katikati ya wazungu wakitazama mbio hizi, lazima alihisi fahari.
Hivyo wacha chuki, zinakutesa bure, toa hongera kama wenzako humu, huu uzi watu wamungana bila kuzingatia mipaka wala nini sema kwa wachache ambao wanaeleweka ishawaingia kwenye damu hutafuta sana attention ya Wakenya.
Kenya ni nchi ya kikabila tofauti na Tanzania. Eliud Kipchoge akigombea urais Kenya mtamtenga kwa kuwa ni Mkalenjin. Kama mnavyombagua Raila kisa Mluo halafu mnakuwa wanafiki kudai kuwa Lupita ni Mkenya.
Mimi namuunga mkono Eliud na Wakalenjin wote kwa ujumla. Shida yangu mimi ni nyie na ubaguzi na chuki zenu dhidi ya makabila mengine.