Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Geza Ulole article uliopost inasema .....will not be recognised as the OFFICIAL marathon WR... kama nilivosema. Alafu ikaisha na Kipchoge has done it! 😀 Kenya hoyeee! [emoji1139]
 
AAIFVCZ.img
 
Mi mwenywe nashangaa...anataka kumfananisha kipchoge na vitu vya kijinga
Ona wanaopenda misifa ya bure sasa. Endeleeni kutoa povu. Hivi umlinganishe Eliud Kipchoge na kinyangarika kama Harmonize? [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
milking milking milked

Who are they milking? Our own Kipchoge is coming home with $4,000,000 plus numerous endorsements. That's all that matters. Ama unadhani ni Wakenya watakaotoa hizo hela? Stop being stupid. 😅 😅
 
Ameendeleza ubabe wa Wakalenjin kwenye marathon. Nyie Wakikuyu endeleeni na juhudi zenu za kupekejeng mbwa na wizi.

Hehehe!! Duh unatumia nguvu nyingi kuteseka, kila bnadamu ana asili, ametokea kwenye jamii fulani, Kipchoge ametokea kwa familia, ukoo, kabila, taifa, kanda, bara na dunia yake. Kwa hivyo sisi tumeunganishwa naye kwenye level ya taifa, na tunajivunia hilo, ndio kama nyie Wachagga jinsi huwa mnajivunia Harmonize japo yeye Mmakonde na hana undugu wowote na Wachagga au yule Mrundi anaitwa Diamond.
Pia Watanzania wameunganishwa na Kipchoge kwenye level ya ukanda wa Afrka Mashariki na Afrika, Mtanzania yeyote aliyekua katikati ya wazungu wakitazama mbio hizi, lazima alihisi fahari.
Hivyo wacha chuki, zinakutesa bure, toa hongera kama wenzako humu, huu uzi watu wamungana bila kuzingatia mipaka wala nini sema kwa wachache ambao wanaeleweka ishawaingia kwenye damu hutafuta sana attention ya Wakenya.
 
Kenya ni nchi ya kikabila tofauti na Tanzania. Eliud Kipchoge akigombea urais Kenya mtamtenga kwa kuwa ni Mkalenjin. Kama mnavyombagua Raila kisa Mluo halafu mnakuwa wanafiki kudai kuwa Lupita ni Mkenya.
Mimi namuunga mkono Eliud na Wakalenjin wote kwa ujumla. Shida yangu mimi ni nyie na ubaguzi na chuki zenu dhidi ya makabila mengine.
 
Hauwezi kumuunga mkono kwenye level ya ukalenjin maana wewe sio mkalenjin, upo naye kwenye level ya ukanda wa Afrika Mashariki.
Masuala ya siasa hayahusiki hapa maana siasa hufahamika kuibua migawanyiko ya kiaina, wanasiasa huchochea hiyo migawanyiko, kwa mfano leo hii huko Tanzania kisiasa huwa mumepasuka kwenye kichama, mtu wa CCM huwadharau wenzake wa upinzani kiasi kwamba wapinzani hawajioni Watz kabisa, mpaka wanashabikia timu ya taifa kufungwa, au ndege kunyakuliwa na mkulima.
Kwenu hamna ukabila sana, labda kwenye awamu hii ndio nimeona mumeukumbatia.

Anyway back to the topic, mimi namshabikia Kipchoge kwenye level ya taifa, Watanzania wanamshabikia kwenye level ya kanda, Wanigeria wanamshabikia kwenye level ya bara.
Ndugu zake wanamshabikia kwenye level ya familia na pia kabila lake nao wapo naye kwenye level hiyo, sasa wewe sio Mkalenjin, hufai kushobokea kabila.
 
The only thing Kenyans can do better than the whites
1. Sex
2. Marathon /athletics
 
Back
Top Bottom