Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Riadha ni kipaji kwanza kabla ya training. Training bila kipaji hamna ushindi. Riadha kama michezo mingi ni suala la vinasaba na sio la kisiasa.
Wanaoshinda marathon kutoka Kenya ni Wakalenjin na kutoka Ethiopia ni Waoromo.
Ukienda Naijeria wacheza soka wao wengi ni Waigbo.
Sasa hapo 'Jiwe' anaingiaje? Bila shaka huko shuleni ulienda kusomea ujinga.
Haya Basi nyie kipaji chenu Cha omba omba Ni kutoka kabila gani?
 
Mbio mnazomsifia kipchoge hata hazitambuliki na shirikisho la riadha duniani, mbio zenyewe hakua na mpinzani pia aliandaliwa kukimbia eneo maalum, ni makampuni flani ndiyo yalimtumia kutengeneza pesa.
Naye pia akatengeneza pesa, bendera ya Kenya ikapeperuehwa dunia kote, Kenya ikatambulika Dunia mzima na wewe unapiga mdomo hapa JF mahala ambapo comment yako imesomwa na watu wasiozidi 20...who is the loser here?
 
Enzi zile nilikuwa mshabiki sana wa Kipchoge Keino je wana uhusiano na Eliud Kipchoge au ni majina tuu,,Hongereni majira zetu
 
This is not an IAAF record.

Wamempongeza tu kama watu wanavyompongeza JF.

Unabisha?

Kipchoge ametengeneza artificial conditions za kumsaidia kushinda.

This is not a natural marathon.
Hajatwngeneza yeye sema ametwngenezewa....lakini tuje kwenye uhalisia hata kama kuna mazingira wametengeneza kumsaidia unadhani ni rahisi hivyo? Maans hata huko marathoni ana record nzuri tu tena inatofautiana na hii padogo sana , kwahiyo anastahili
 
Riadha ni kipaji kwanza kabla ya training. Training bila kipaji hamna ushindi. Riadha kama michezo mingi ni suala la vinasaba na sio la kisiasa.
Wanaoshinda marathon kutoka Kenya ni Wakalenjin na kutoka Ethiopia ni Waoromo.
Ukienda Naijeria wacheza soka wao wengi ni Waigbo.
Sasa hapo 'Jiwe' anaingiaje? Bila shaka huko shuleni ulienda kusomea ujinga.
David Rudisha ni Mkalenjin? Hellen Obiri ni Mkalenjin? Catherine Ndereba ni Mkalenjin? Wakihuri ni Mkalenjin?
 
Mbio mnazomsifia kipchoge hata hazitambuliki na shirikisho la riadha duniani, mbio zenyewe hakua na mpinzani pia aliandaliwa kukimbia eneo maalum, ni makampuni flani ndiyo yalimtumia kutengeneza pesa.
The man is a legend eitherways
Ashawekwa on normal track with others na akawa champion
 
David Rudisha ni Mkalenjin? Hellen Obiri ni Mkalenjin? Catherine Ndereba ni Mkalenjin? Wakihuri ni Mkalenjin?

Taja wanariadha kutoka Kenya walioshinda mbio zozote Duniani tokea zamani. Asilimia 99 ni Wakalenjin.
Anza na Olympics na mbio zote kubwa, ni vita ya Wakalenjin na Waoromo.
 
Wamaasai kwenye riadha ni wa kubahatisha kama hao Wakikuyu.
Hao Waborana waliingia Kenya miaka mingi iliyopita kwa hiyo huenda walichanganyika na makabila mengine.
Huwezi kutenganisha marathon na Wakalenjin na Waoromo.
Waborana tena? Hilo ni kabila lingine tofauti na waoromo. Nashangaa inakuwaje wewe ni mkabila ila huyajui kabisa makabila ya Kenya. Kwa kigezo chako kila mtu duniani anabahatisha isipokuwa wakalenjin. Hivi unajua miaka 20 iliyopita mbio za masafa marefu zilikuwa dominated kabisa na nchi ya Finland?
 
EGq7ljXX4AEg3RM
 
42 km kwa masaa mawili....

Yaaan atakimbia km 21 kwa lisaa limoja,au 21km kwa dakika 60

Ni sawa na kusema atakimbia km 0.35 kwa dakika moja

Hii pia ni sawa tu nikisema atakimbia mita 350 kwa dakika moja

Pata picha tu...dakika moja huyu jamaa anakuwa kakimbia umbali sawa na viwanja vya mpira vitatu na nusu

Zaidi ni sawa na kusema atakimbia mita 5.8 kwa sekunde moja!!

Hehehehe, mita 5.8 kwa sekunde!! yetu macho,ngoja tusubili tujionee

Ni mwendo wa gari huu
 
Tottenham Hotspur has also congratulated the G. O. A. T[emoji122][emoji122]
 
Taja wanariadha kutoka Kenya walioshinda mbio zozote Duniani tokea zamani. Asilimia 99 ni Wakalenjin.
Anza na Olympics na mbio zote kubwa, ni vita ya Wakalenjin na Waoromo.
Boss, nakuhakikishia kwamba wakikutajia orodha itakuwa na majina mengi zaidi ya watanzania wote ambao wameshinda hata medali moja tu, ya shaba, tangia mpate uhuru. Wanasayansi hawajapata 'physical advantage' hata moja ambayo wakalenjin wanayo zaidi ya wanariadha ambao sio wakalenjin. Infact kuibua tu hoja hiyo ilipingwa vikali na wataalamu na watu weusi kote duniani. Huku hoja yenye ikitajwa kama ya kibaguzi dhidi ya watu weusi. Kwa kuendelea dhana ya kwamba mtu mweusi hawezi ikaibuka kidedea kwenye nyaja yeyote ile bila ya kuwa na 'biological advantage'. Atleast wape wakalenjin haki yao kwa kuwa na asili ya moyo wa kujituma na kufanya mazoezi wakiwa focused. Guess what you are potraying yourself as, with your racial undertones? A proud house nigger.
 
Watanzania tuache wivu. Kwenye michezo Kenya wametuzidi kote. Sisi kwenye muziki na maigizo twawazidi mbali.
Nimeangalia hii kitu kwa kweli Wakenya wako juu. Na Wazungu nao wako juu
 
Back
Top Bottom