Naxvegas254
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 542
- 316
Haya Basi nyie kipaji chenu Cha omba omba Ni kutoka kabila gani?Riadha ni kipaji kwanza kabla ya training. Training bila kipaji hamna ushindi. Riadha kama michezo mingi ni suala la vinasaba na sio la kisiasa.
Wanaoshinda marathon kutoka Kenya ni Wakalenjin na kutoka Ethiopia ni Waoromo.
Ukienda Naijeria wacheza soka wao wengi ni Waigbo.
Sasa hapo 'Jiwe' anaingiaje? Bila shaka huko shuleni ulienda kusomea ujinga.