Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Sijui, hebu nielezee kinaga ubaga alafu unielezee vile umekuwa ukiifanya miaka Hii yote na uliitambua aje na Nani kakufunza na pia Kama bado unaendelea kuifanya hio punyeto. Uwanja Ni wako Babaa
 
Si nilisikia anawajengea viwanda na pia kuboresha mazao ya wakulima wa Korosho.
 
Riadha ni kipaji kwanza kabla ya training. Training bila kipaji hamna ushindi. Riadha kama michezo mingi ni suala la vinasaba na sio la kisiasa.
Wanaoshinda marathon kutoka Kenya ni Wakalenjin na kutoka Ethiopia ni Waoromo.
Ukienda Naijeria wacheza soka wao wengi ni Waigbo.
Sasa hapo 'Jiwe' anaingiaje? Bila shaka huko shuleni ulienda kusomea ujinga.
 
Eliud ni kiongozi flani tanzania wa kile chama cha kijani...

CCM
 
Maswali yangu naona yamejibiwa na huu mjadala.

Nilikuwa najiuliza kwa nini wakimbiaji wote wanashangilia kuelekea kumaliza ilhali ni muda wa kukomaa kumzidi aliyewatangulia.
 
Halafu baadaye inakuja kithibitika kuwa ametumia dawa,itasikitisha sana.

Hongera kwake
 
Vipi kuhusu wa Oromo wa Kenya, mbona hatuwaoni kwenye riadha? Wamaasai wa Tz nao mbona hawapo wakati wenzao wamaasai wa Kenya km. David Rudisha na babake Rudisha Snr wamejishindia medali nyingi kimataifa. Hivi unajua rekodi ambayo Eliud Kipchoge aliivunja hapo awali kwenye marathon ilikuwa imeshikiliwa na Patrick Makua? Patrick Makau asili yake ni ukambani. Kwenye marathon kwa kina dada Paula Radcliff wa GB naye alivunja rekodi ya dunia ambayo ilikuwa imeshikiliwa kwa muda mrefu na Catherine Ndereba. Catherine Ndereba asili yake ni ukikuyuni.
 
Wakenya huwa wapo serious na mambo yao hata kama ni mama ntilie anafanya kwa ustadi mkubwa
 
Umesahau lile kabila lako kuu...kijani tribe[emoji1787][emoji1787]
 

Wamaasai kwenye riadha ni wa kubahatisha kama hao Wakikuyu.
Hao Waborana waliingia Kenya miaka mingi iliyopita kwa hiyo huenda walichanganyika na makabila mengine.
Huwezi kutenganisha marathon na Wakalenjin na Waoromo.
 
Jamaa atakuwa anatrain sana aisee,
Atakuwa anajinyima vingi, Zikiwemo kula nyama tamu na Bia, Hata kuto.mba lazima anafanya kwa mahesabu makali, Dah.
 
Mbio mnazomsifia kipchoge hata hazitambuliki na shirikisho la riadha duniani, mbio zenyewe hakua na mpinzani pia aliandaliwa kukimbia eneo maalum, ni makampuni flani ndiyo yalimtumia kutengeneza pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…