komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Hoyeeee...
Aisee CHADEMA wanaona wivu kweli
Aisee CHADEMA wanaona wivu kweli
ccm hoyeeee...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ccm hoyeeee...
Kukosa heshima kabisa.
Sijui, hebu nielezee kinaga ubaga alafu unielezee vile umekuwa ukiifanya miaka Hii yote na uliitambua aje na Nani kakufunza na pia Kama bado unaendelea kuifanya hio punyeto. Uwanja Ni wako BabaaHaya ni matangazo ya biashara, si rekodi ya riadha.
Ukiniambia mnataka watu wataje Kenya nitakuelewa.
Ukiniambia kavunja rekodi ya marathon notasema wewe ni sawa na mtu anayetafuta kupata mtoto kwa kupiga punyeto na ku flush manii.
Katika marathon, alichofanya Kipchoge ni punyeto.
Unalijua punyeto wewe?
Si nilisikia anawajengea viwanda na pia kuboresha mazao ya wakulima wa Korosho.Napenda sana riadha nimemuangalia kipchoge aklifanya maajabu hiko vienna ku run marathon under 2 hours waooh it was amazing kuna siku nilimsikia nyambui akisema back in the 70s and 80s wakenya walikuwa wanakuja Tanzania ku train leo they are miles ahead they are the best in the world kweli tumepotea aisee, anyway hongereni sana ndugu zetu riadha inawafanya nchi yenu imekuwa famous sisi huku JIWE YUKO BUSY KUUA WAPINZANI NA KUIUA CHADEMA
Hapa kazi tuSi nilisikia anawajengea viwanda na pia kuboresha mazao ya wakulima wa Korosho.
Something like she is not ready,she is not used to it,don't force it mkuu...hongera zake mzee kipchoge!! umetishaaa.....wengi hapa jijini tumeingia masehemu flani flani ivi amaizing kusherehekea haka kaushindi mazee😉
View attachment 1230899
Kenya ni nchi ya kikabila tofauti na Tanzania. Eliud Kipchoge akigombea urais Kenya mtamtenga kwa kuwa ni Mkalenjin. Kama mnavyombagua Raila kisa Mluo halafu mnakuwa wanafiki kudai kuwa Lupita ni Mkenya.
Mimi namuunga mkono Eliud na Wakalenjin wote kwa ujumla. Shida yangu mimi ni nyie na ubaguzi na chuki zenu dhidi ya makabila mengine.
Ni ngumu kumeza hii, huyu Mkenya anataka kufanya kitu ambacho hakiingii akilini, sijui nini anawaza muda huu, neno 'badass' litapata maana na tafsiri mpya leo.
Mbio zenyewe ataanza 09:15am
Kwa watani wetu wa Kusini, ili kuwapa picha ya umbali anaokimbia chini ya masaa mawili, ni kama kutoka Dar hadi Mlandizi, kwa ndugu zangu hapa Kenya hiyo ni kama kutoka Nairobi hadi Lari.
TV nyingi duniani zitapeperusha moja kwa moja mubashara, hata zetu hapa Kenya naona zimeweka live, anajadiliwa kitaani nyumba kwa nyumba. Muhimu sana maana inawapa hamasa vijana wengi kwamba linawezekana na itawezekana.
Pia kampuni ya Youtube inapeperusha mubashara
----UPDATE----
Eliud Kipchoge ran a staggering 1:59:40, shattering the mythical sub-two marathon barrier as he completed the #INEOS Challenge in majestic fashion on the streets of Vienna
--
ELIUD KIPCHOGE: MWANARIADHA WA KWANZA KUKIMBIA KM 42 KWA CHINI YA SAA 2
Mwanariadha raia wa Kenya, Eliud Kipchoge ameweka rekodi ya kuwa Mwanariadha wa kwanza Duniani kumaliza mbio za marathon kwa muda wa chini ya saa mbili
View attachment 1230550
Kipchoge mwenye miaka 34, amekimbia Kilometa 42.2 kwa kutumia muda wa saa 1, dakika 59 na sekunde 40 kwenye michuano ya Ineos 1:59 huko Vienna, Australia
Hata hivyo, rekodi hiyo haitatambuliwa kama rekodi rasmi Ulimwenguni kwasababu ameweka rekodi hiyo katika michuano isiyo ya wazi
Aidha, katika jaribio lake la mwisho kutaka kuweka rekodi hiyo mnamo mwaka 2017 alishindwa kwa sekunde 25
Vipi kuhusu wa Oromo wa Kenya, mbona hatuwaoni kwenye riadha? Wamaasai wa Tz nao mbona hawapo wakati wenzao wamaasai wa Kenya km. David Rudisha na babake Rudisha Snr wamejishindia medali nyingi kimataifa. Hivi unajua rekodi ambayo Eliud Kipchoge aliivunja hapo awali kwenye marathon ilikuwa imeshikiliwa na Patrick Makua? Patrick Makau asili yake ni ukambani. Kwenye marathon kwa kina dada Paula Radcliff wa GB naye alivunja rekodi ya dunia ambayo ilikuwa imeshikiliwa kwa muda mrefu na Catherine Ndereba. Catherine Ndereba asili yake ni ukikuyuni.Riadha ni kipaji kwanza kabla ya training. Training bila kipaji hamna ushindi. Riadha kama michezo mingi ni suala la vinasaba na sio la kisiasa.
Wanaoshinda marathon kutoka Kenya ni Wakalenjin na kutoka Ethiopia ni Waoromo.
Ukienda Naijeria wacheza soka wao wengi ni Waigbo.
Sasa hapo 'Jiwe' anaingiaje? Bila shaka huko shuleni ulienda kusomea ujinga.
Wakenya huwa wapo serious na mambo yao hata kama ni mama ntilie anafanya kwa ustadi mkubwaNapenda sana riadha nimemuangalia kipchoge aklifanya maajabu hiko vienna ku run marathon under 2 hours waooh it was amazing kuna siku nilimsikia nyambui akisema back in the 70s and 80s wakenya walikuwa wanakuja Tanzania ku train leo they are miles ahead they are the best in the world kweli tumepotea aisee, anyway hongereni sana ndugu zetu riadha inawafanya nchi yenu imekuwa famous sisi huku JIWE YUKO BUSY KUUA WAPINZANI NA KUIUA CHADEMA
Riadha ni kipaji kwanza kabla ya training. Training bila kipaji hamna ushindi. Riadha kama michezo mingi ni suala la vinasaba na sio la kisiasa.
Wanaoshinda marathon kutoka Kenya ni Wakalenjin na kutoka Ethiopia ni Waoromo.
Ukienda Naijeria wacheza soka wao wengi ni Waigbo.
Sasa hapo 'Jiwe' anaingiaje? Bila shaka huko shuleni ulienda kusomea ujinga.
Vipi kuhusu wa Oromo wa Kenya, mbona hatuwaoni kwenye riadha? Wamaasai wa Tz nao mbona hawapo wakati wenzao wamaasai wa Kenya km. David Rudisha na babake Rudisha Snr wamejishindia medali nyingi kimataifa. Hivi unajua rekodi ambayo Eliud Kipchoge alovunja hapo awali kwenye marathon ilikuwa imeshikiliwa na Patrick Makua? Patrick Makau asili yake ni ukambani. Kwenye marathon kwa kina dada Paula Radcliff wa GB naye alivunja rekodi ambayo ilikuwa imeshikiliwa kwa muda mrefu na Catherine Ndereba. Catherine Ndereba asili yake ni ukikuyuni.