Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Kwahiyo kama jiwe yuko busy kuua chadema,wewe uko unataga mayai uatamie au unafanya nini hapo??
 
Watanzania tuache wivu. Kwenye michezo Kenya wametuzidi kote. Sisi kwenye muziki na maigizo twawazidi mbali.
Nimeangalia hii kitu kwa kweli Wakenya wako juu. Na Wazungu nao wako juu
tuko juu siku zote bro. asante kwa kulitambua hilo!
 
Yani dunia Mzima macho kwa Nchi ya Asali, Maziwa na Riadha. Proudly Kenyan...wiki zaidi ya mbili toka Doha na leo Ineos jina tajika Ni KENYA.
 
Watanzania tuache wivu. Kwenye michezo Kenya wametuzidi kote. Sisi kwenye muziki na maigizo twawazidi mbali.
Nimeangalia hii kitu kwa kweli Wakenya wako juu. Na Wazungu nao wako juu
Maneno yako hayana tofauti na yule mkenya alietolewa posa sauz , wakenya wanatuzidi vipi kote kwenye michezo ?. Kenya wametuzidi kwenye mbio tumewazidi kwenye ngumi kwenye mpira hamna aliemzidi mwenzake mzani unatinga sawa kwenye kuimba tumewazidi kwenye michezo ya kijinga kijinga kama volbo sijui cliket wametuzidi sasa ukisema wametuzidi kote ckuelewi au unazungumzia kuolewa?
 
Ngumi mshawahi kushindwa dhahabu?
Mpira Kenya iliwagaragaza kule Misri sio Siri.
Riadha hata msiseme.
Voliboli Kenya juzi tu ilikuwa World Cup huko Japan na bado ndio mabingwa wa Afrika.
Cricket Kenya Ni mojawapo ya magwiji pamoja na SA, Zimbabwe na Namibia.

TANZANIA IKO WAPI KWA MICHEZO?
 
Usirudi hapa Kama unakurupuka upuzi
 
Naye pia akatengeneza pesa, bendera ya Kenya ikapeperuehwa dunia kote, Kenya ikatambulika Dunia mzima na wewe unapiga mdomo hapa JF mahala ambapo comment yako imesomwa na watu wasiozidi 20...who is the loser here?
Hahahahaha....good
 
Watu wamekariri. Ushindi katika Riadha si kipaji Wala DNA Ni training. Tatizo la Tanzania ni Hilo wamekariri kuwa watu wa Mbulu ndo wanariadha ,hata juzi kule Doha wamepeleka timu bila Maandalizi ya kutosha matokeo yake baadhi wameshindwa hata kumaliza. Hivi inawezekana vipi watu watoke kazini tu na kwenda kushiriki mbio bila Maandalizi?
 
Kiranga chuki za ajabu.Unashagaza kweli. We give credit where credit is due.Hongera Kip.
 
Unakumbuka Misri tu kipigo ulichokipata kwako umekisahao au nani kakuvunjia masomo yako ya kuendelea na chan kama unakumbuka vizuri , na juzi tu hapo U20 wakawagonga tena Wakenya na kubena kombo lakini hata rekodi hizo huzioni unabaki na kujifariji na Misri tu miaka yote utagongwa ukiambiwa utajifariji na Misri. Tukija kwenye ngumi mchezaji gani wa Kenya anaeweza kupambana na wa TZ
 
Au humjui mwa kinyo vizuri ee, tafuta shangingi lako huko Kenya unaemuona huyu anajua ndoni vizuur harafu apambane na mwakinyo uone kitakachomtokea
 
Hongera Sana Mtanzania wa Kuzaliwa Eliud Kipchoge.Ndugu zako wa Rombo wamekuandalia sherehe kukupongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…