apige hatua 5 within a second?? hahahah poa bhanaaDah, pata picha mita 5 ndani ya sekunde.
Kumbe ataandika historia na sio kuvunja rekodi....na hii ni kwasababu anakimbia mwenyewe na pia uwepo wa pacemakers ambao wanaingia na kutoka. Ila all in all inatuweka vizuri wanaafrika mashariki kwenye uso wa dunia hususan kwenye michezo.
Amefikia wapi mbezi tayari maana nipo hapa nangoja tu ashinde nikapige **** za bure hapa kenya kwa machangu walio promiseJamaa tayari amepita nusu ya umbali wote chini ya dakika 50.
Dakika sasa hivi ni ya 1:20:03.Anatoboaaaa????
Bado km ngapi na dk zitamtosha?Dakika sasa hivi ni ya 1:20:03.