Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa ni hatari. Hongera kwake.Ametumia 1:59:40 ilhali alikua amejiwekea 1:59:49
5.8 m kwa sekunde! Duuh! Hii itakuwa ni ajabu kwa kweli42 km kwa masaa mawili....
Yaaan atakimbia km 21 kwa lisaa limoja,au 21km kwa dakika 60
Ni sawa na kusema atakimbia km 0.35 kwa dakika moja
Hii pia ni sawa tu nikisema atakimbia mita 350 kwa dakika moja
Pata picha tu...dakika moja huyu jamaa anakuwa kakimbia umbali sawa na viwanja vya mpira vitatu na nusu
Zaidi ni sawa na kusema atakimbia mita 5.8 kwa sekunde moja!!
Hehehehe, mita 5.8 kwa sekunde!! yetu macho,ngoja tusubili tujionee
Inawezekana kuna baadhi ya sehemu atakuwa anaruka...42 km kwa masaa mawili....
Yaaan atakimbia km 21 kwa lisaa limoja,au 21km kwa dakika 60
Ni sawa na kusema atakimbia km 0.35 kwa dakika moja
Hii pia ni sawa tu nikisema atakimbia mita 350 kwa dakika moja
Pata picha tu...dakika moja huyu jamaa anakuwa kakimbia umbali sawa na viwanja vya mpira vitatu na nusu
Zaidi ni sawa na kusema atakimbia mita 5.8 kwa sekunde moja!!
Hehehehe, mita 5.8 kwa sekunde!! yetu macho,ngoja tusubili tujionee
Pongezi zimfikie. Halafu anahojiwa wala ahemi kivile kana kwamba hajatoka kukimbia mbio ndefu. Kana kwamba ametoka sebuleni ameingia chumbani.Sio kimya bro...yaani huku hakukaliki full shangwe hata muda wa kuandika humu JF haupo...
Stupendous!!Katumia saa 1:59:40