Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Hizi kilomita tano zilizosalia jameni hakukaliki huku!!
 
@Mods sikuwa nimeona ule uzi mwingine wa MK254. Haya basi, hamisha uzi huu, unganisha ziwe moja. Shukran.
 
Dah! Hii marathon ni ya kukata na shoka! Dakika ni za lala salama. Kenya representing! [emoji1139]
 
Vipi na yule mkenya aliyeolewa south hawataonesha live akitinduliwa marinda?
huyu mtz naye vp mazeee! eboooo...
FB_IMG_1553552389525.jpg

Huyu kwanini msiseme ni kutoka "East Africa", au East Africans ni Diamond na Alikiba na Harmonize tu lakini ikifika upande wa wakenya kufanya vizuri hakuna EAC?.

Tukikataa EPA, free movement of people and businesses, hapo ndio mnaikumbuka EAC kwasababu inawaumiza. Ubinafsi na kupenda sifa ndio ugonjwa wenu.
 
Legendary [emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1139][emoji1139][emoji1139][emoji1139][emoji1139][emoji16][emoji16]
FB_IMG_15708667537385947.jpeg
 
Back
Top Bottom