Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

CONGRATULATIONS TO THE KIPCHOGE
HE HAS DONE IT @ 1:59:40
 
Yes, the guy is tough! He did it, just 1:59:40!!

Watanzania hata mbio tunashindwa????
 
5.8 m kwa sekunde! Duuh! Hii itakuwa ni ajabu kwa kweli
 
Mimi mbona kitambo naweza , yaani naenda mabio hatar tatzo connection
 
Inawezekana kuna baadhi ya sehemu atakuwa anaruka...
 
Mkuu hatupo serious kwa kila jambo angalia hizi timu za watoto wa mpira wa miguu miaka 18 ,utasikia waziri anasema tumeshinda kombe hili sasa twende bungeni wakifika bungeni wanapewa maneno na bendera ya chama na ndio mwisho wao hapo hapo,hebu angalia juzi mechi ya Argentina na German asilimia kubwa ni vijana ambao wanaandaliwa kombe la dunia 2022 lakini sisi tumegandana na Yondani,Mkude tutafika wapi!sisi kazi yetu ni kusema tu :JAMANI ZAENI HALAFU KUTUNZA HATUWEZI
 
He promises he delivers,he's never a let down.well in kipchoge..LEGEND!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…