Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Muonekano wake kama miaka 45 na sio 34.
Ninampongeza kwa hatua hiyo muhimu
 
Record gani? Inayotambuliwa na chama gani?

Kasaidiwa na watu kuzuia upepo, kasaidiwa na watunza muda.

Not a natural marathon.

Arudie tena kukimbia bila kusaidiwa hivyo, akiweza kukimbia ndani ya masaa mawili hapo kuna kitu kipya cha kusheherekea.

Vinginevyo what is the difference between this and doping?

Vyote viwili ni kutumia artificial assistance to run a certain distance in a certain time.

This is just like doping.

That is why no respectable body of athletics recognizes this as a record.
What have you done hadi dunia yote ikawa inakuangalia tuanzie hapo,kisha yule billionaire ni mjinga sana akampelekea private jet kumchukua kenya!!!...wacha wivu wewe
 
Kuna watu wana wivu kupindukia. Eliud Kipchoge alikuwa anathubutu kukimbia marathon chini ya masaa mawili, na amefanikiwa. Ni marathon world record ila sio official kupitia IAAF. Kwa vigezo hivi, kwamba hafla haikuwa ya IAAF na pia pacemakers walikuwa wana'rotate'. Kawaida kwenye marathon zote 'pacemakers' huwa hawaingii kwenye mbio katikati, huwa wanaanza kutoka mwanzo lakini wanakubaliwa kutoka wakati wowote ule. Ilipangwa hivyo kwenye marathon hii kwasababu haikuwa ya ushindani kati ya wanariadha na 'pacemakers' walihitajika wampe mwanariadha mmoja tu pace ya kasi. Kiranga kwenye marathon zote wanariadha huwa wanakimbia in 'packs' huku pacemakers wakiwatangulia. Alafu wote huwa wanagombania kuwa upande wa ndani kwenye barabara. Hakuna marathon ambayo mwanariadha huwa anakimbia pekee yake. https://www.bbc.com/sport/athletics/50025543
 
The devil is in the detail.

Kwa nini muda huu hautambuliwi kama a world record na chama chochote cha mbio za riadha duniani?
Kuna so many speculations kuhusu tukio hili,ndomaana vyamba vya riadha duniani vimejiweka pembeni

NImesoma mahali nakala ndefu sana kuhusu hili suala,nitakuaj kulipost mda si mrefu halafu tulijadili kwa pamoja
 
Kuna watu wana wivu kupindukia. Eliud Kipchoge alikuwa na anathubutu kukimbia marathon chini ya masaa mawili, na amefanikiwa. Ni marathon world record ila sio official kupitia IAAF. Kwa kigezo kimoja tu, kwamba pacemakers walikuwa wana'rotate'. Kawaida kwenye marathon pacemakers huwa hawaingii kwenye mbio katikati, huwa wanaanza kutoka mwanzo lakini wanakubaliwa kutoka wakati wowote ule. Kiranga kwenye marathon ya kawaida wanariadha huwa wanakimbia in 'packs' na pacemakers wakiwatangulia. Huku wote wakigombania kuwa upande wa ndani kwenye barabara. Hakuna marathon ambayo mwanariadha huwa anakimbia pekee yake. https://www.bbc.com/sport/athletics/50025543
Wacha ujinga! Kwa vigezo saba he was taking caffein drinks pia!

Seven reasons why Eliud Kipchoge’s feat in Vienna will NOT be recognised as World Record
By Waweru Titus: Saturday, October 12th 2019 at 15:04 GMT +3 | Athletics
share tweet
Share
hilapn5foponcjcf15da1ab172f339.jpg
Kenya's Eliud Kipchoge celebrates with his wife Grace Sugutt after Kipchoge busted the mythical two-hour barrier for the marathon during the "Ineos 1:59 Challenge: Sub-Two Marathon Attempt" on October 12, 2019, in Vienna. - With a timing of 1hr 59min 40.2sec, the Olympic champion became the first ever to run a marathon in under two hours. [Photo by HERBERT NEUBAUER / APA / AFP]

Kenya’s most-daring son Eliud Kipchoge has cemented his name in the history books, completing a 42-kilometre marathon in 1:59:40 at the INEOS 1:59 Challenge on Saturday, October 12 in Vienna, Austria.

Kipchoge’s historic INEOS feat, however, won't be recognised as an official World Record!
According to the International Association of Athletics Federation (IAAF), for a race to meet athletics' competition rules, and therefore be eligible to become a World Record, certain criteria must be met.
A race must be:
1. Be sanctioned by the IAAF or by the Athletics Federation of the host country.

2. Pacemakers cannot rotate in and out of a race.
3. There must be anti-doping controls.
4. Refreshments must be taken from official stations and not brought to an athlete.
5. There must be at least three competitors.
6. An athlete cannot be paced by a vehicle with a motor.
7. The course must be measured and certified by an official.

During Kipchoge's first attempt in Monza, Italy two years ago, refreshments were brought to him and pacers swapped in and out, breaching IAAF's rules.

On Saturday, refreshments in the form of eight pre-prepared drinks, energy and caffeine gels were handed to Kipchoge every 3.1 miles (5km), breaching one of the rules.

The 34-year-old already holds the men's world record for the distance with a time of 2hr 01min 39sec, which he set in the flat Berlin marathon on September 16, 2018.

According to AFP, the course had been prepared so that it should take Kipchoge just about 4.5 seconds more than on a computer-simulated completely flat and straight path, according to analysis by sports experts at Vienna University.

In total, he only had to descend 26 metres in altitude and climb 12 metres, the experts said.

The world marathon record has, for the past 16 years, been contested uniquely between athletes from Kenya and Ethiopia.

The two nations are also fierce rivals for distance medals on the track.
Kipchoge's record was almost beaten last month in the Berlin marathon by Ethiopia's Kenenisa Bekele, who ran 2:01.41, just two seconds short of the official world mark.

NB: The race in Vienna, Austria was not a competition but was meant to inspire millions of people in the world. Kipchoge has done it.

Viva Eliud Kipchoge!
#NoHumanIsLimited
#KipchogeINEOSChallenge

 
sisi tunashingilia ushindi wa mtanzania mwenzetu. wakenya endeleeni kupata hasira.
View attachment 1230774View attachment 1230775
Bongo nzima tuko wima, twakupigia makofi
Tumefurahi mtima, na tabasamu hazifi
Umeileta heshima, umefanya kazi safi
HONGERA JIMWAGE MWAGE, UMESHINDA KIPCHOGE!
Ni arubaini na mbili, kilomita umekata
Umepambana kikweli, ushindi ukaupata
Kipchoge u mkali, nakusifu sitosita
HONGERA JIMWAGE MWAGE, UMESHINDA KIPCHOGE!
Sekunde kumi na tisa, zimebaki kwenye saa
Dunia umetikisa, bendera yetu yapaa
Usistajaabu ya Musa, Kipchoge ndiye taa
HONGERA JIMWAGE MWAGE, UMESHINDA KIPCHOGE
Bongo nzima ni vicheko, mbinja na vigelegele
Najua huko uliko, zakufikia kelele
Karibu nyumbani kwako, twakusubiri tu tele
HONGERA JIMWAGE MWAGE, UMESHINDA KIPCHOGE.
 
Huyu kwanini msiseme ni kutoka "East Africa", au East Africans ni Diamond na Alikiba na Harmonize tu lakini ikifika upande wa wakenya kufanya vizuri hakuna EAC?.

Tukikataa EPA, free movement of people and businesses, hapo ndio mnaikumbuka EAC kwasababu inawaumiza. Ubinafsi na kupenda sifa ndio ugonjwa wenu.

Ona wanaopenda misifa ya bure sasa. Endeleeni kutoa povu. Hivi umlinganishe Eliud Kipchoge na kinyangarika kama Harmonize? 😅 😅 😅
 
Huku Bongo sipati Picha yaani CCM nazani wakina Polepole wangekuwa kila Dakika wanafanya Press na kusema huyo anaiwakilisha CCM.

Sijasikia Mkenya akisema eliud kipchoge anawakilisha chama fulani.

CCM jifunzeni kutoka kwa Eliud kipchoge. Pale anawakilisha nchi sio Chama

Asante kwa kuwaelimisha Watanzania wenzako.
Geza Ulole
joto la jiwe
REDEEMER.
 
Kumbe ataandika historia na sio kuvunja rekodi....na hii ni kwasababu anakimbia mwenyewe na pia uwepo wa pacemakers ambao wanaingia na kutoka. Ila all in all inatuweka vizuri wanaafrika mashariki kwenye uso wa dunia hususan kwenye michezo.

Hata reckodi ni yeye anayeshikilia.
 
Back
Top Bottom