Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Unakumbuka Misri tu kipigo ulichokipata kwako umekisahao au nani kakuvunjia masomo yako ya kuendelea na chan kama unakumbuka vizuri , na juzi tu hapo U20 wakawagonga tena Wakenya na kubena kombo lakini hata rekodi hizo huzioni unabaki na kujifariji na Misri tu miaka yote utagongwa ukiambiwa utajifariji na Misri. Tukija kwenye ngumi mchezaji gani wa Kenya anaeweza kupambana na wa TZ
Fatuma Zarika
AFCON tuliwatwanga
Riadha tunawatwanga
Cricket tunawatwanga hata sidhani mna uwanja na team ya huo mchezo.
Volleyball tunawachapa na pia sidhani mna timu na hata viwanja vya huo mchezo. 😂
Kabadi Kenya Ni noma...najua hujui hio Ni Nini.
Rugby pia ni yetu Africa nyie kuleni chipsi mayai 😂. Tuendelee ama tusiendelee?? 😭😭
 
Daaah,jamaa katisha kwa kweli hasa pale alipoanza kuwa overtake wenzake,unaweza fikiri walimpisha kumbe jamaa alikuwa anawalia timing tu

Hongera zake sana,amezidi kuifanya Afrika iendelee kuwa juu ya mabeberu hususan ktk riadha
 
Maigizo hatuwakaribii labda mziki nao ni labda
Watanzania tuache wivu. Kwenye michezo Kenya wametuzidi kote. Sisi kwenye muziki na maigizo twawazidi mbali.
Nimeangalia hii kitu kwa kweli Wakenya wako juu. Na Wazungu nao wako juu
 
Sasa wataka tubishane Tena?
Kabishane na hii 👇👇👇👇
20191013_110421png.png
 
Ila huyu mtanzania Kipchoge sio mtu mzuri. Alipomaliza shughuli yote alionekana akienda moja kwa moja kwa majirani wakenya. Ambao walijitokeza kwa wingi kumpa motisha. Wakiongozwa na Naibu Rais William Ruto.
rsb0skkFTNqOa-1IZnf4KrFPE9BSeR3xxX2p4xS1Y1-kmlHzFcyBGZehyomiis1h6MduC9TjPjoHKGChfqMG0D48QeF3=s750
 
erglgvs0g0c8kfqjgv7j5da2326c0c4a2.jpg
Gavana Mandago na Naibu Rais William Ruto wakiwa na mtanzania Eliud Kipchoge alipomaliza marathon chini ya masaa mawili. Vipi majirani, mbona mkamtelekeza mwanariadha wenu mashuhuri? [emoji1]
 
manda_pix.jpg
Gavana wa Chato Jackson Mandago ndiye aliyekuwa 'cheerleader' na aliwaongoza wakenya, samahani, watanzania kumshabikia Eliud Kipchoge.
 
Aiseee dahh ni sheedah mazeee...jamaa anatupiga promo ya hatareeeee, ila dah kwa wenzetu naona safari tv inawaonesha wahdzabe wakikula kobee!!😁🐸
Angalia Sasa mi nyani ilivyo!mbona mi nimeona hii nikampigia makofi kipchoge,hili mburura linaanza kashfa.
Tz ilishawahi kuwa mabingwa wa mbio ndefu miaka mi 3 mfululizo chini ya juma ikhangaa hatuongei fala we.
 
Angalia Sasa mi nyani ilivyo!mbona mi nimeona hii nikampigia makofi kipchoge,hili mburura linaanza kashfa.
Tz ilishawahi kuwa mabingwa wa mbio ndefu miaka mi 3 mfululizo chini ya juma ikhangaa hatuongei fala we.
Hahaa! 😀 Jombaa, hata kama amekuudhi na hizo habari za wahadzabe na msosi wao wa kobe, hamna haja ya kueneza porojo tafadhali. Hebu tutajie hiyo marathon ambayo huyo Ikhangaa alishinda miaka mitatu mfululizo?
 
Back
Top Bottom