mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Binadamu hatagi mayai.Anataka akutagishe wewe mayai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu hatagi mayai.Anataka akutagishe wewe mayai.
Ashawahi shinda dhahabu?Au humjui mwa kinyo vizuri ee, tafuta shangingi lako huko Kenya unaemuona huyu anajua ndoni vizuur harafu apambane na mwakinyo uone kitakachomtokea
Fatuma ZarikaUnakumbuka Misri tu kipigo ulichokipata kwako umekisahao au nani kakuvunjia masomo yako ya kuendelea na chan kama unakumbuka vizuri , na juzi tu hapo U20 wakawagonga tena Wakenya na kubena kombo lakini hata rekodi hizo huzioni unabaki na kujifariji na Misri tu miaka yote utagongwa ukiambiwa utajifariji na Misri. Tukija kwenye ngumi mchezaji gani wa Kenya anaeweza kupambana na wa TZ
Mjifunze kujuza talantaHe's Eliud Kichonge from Mtwara, Tanzania
Wewe Kimathi mpuuzi sanaMjifunze kujuza talanta
Watanzania tuache wivu. Kwenye michezo Kenya wametuzidi kote. Sisi kwenye muziki na maigizo twawazidi mbali.
Nimeangalia hii kitu kwa kweli Wakenya wako juu. Na Wazungu nao wako juu
Sasa wataka tubishane Tena?Wewe Kimathi mpuuzi sana
Mbio za Korosho zimeisha wapi🤣🤣🤣Wewe Kimathi mpuuzi sana
Kwa uchawi ama?
Angalia Sasa mi nyani ilivyo!mbona mi nimeona hii nikampigia makofi kipchoge,hili mburura linaanza kashfa.Aiseee dahh ni sheedah mazeee...jamaa anatupiga promo ya hatareeeee, ila dah kwa wenzetu naona safari tv inawaonesha wahdzabe wakikula kobee!!😁🐸
Hahaa! 😀 Jombaa, hata kama amekuudhi na hizo habari za wahadzabe na msosi wao wa kobe, hamna haja ya kueneza porojo tafadhali. Hebu tutajie hiyo marathon ambayo huyo Ikhangaa alishinda miaka mitatu mfululizo?Angalia Sasa mi nyani ilivyo!mbona mi nimeona hii nikampigia makofi kipchoge,hili mburura linaanza kashfa.
Tz ilishawahi kuwa mabingwa wa mbio ndefu miaka mi 3 mfululizo chini ya juma ikhangaa hatuongei fala we.
Mkenya gani kashawahi shinda dhahabu au aliempiga bondia wa TZ wewe maana munasema michezo yote KenyaAshawahi shinda dhahabu?