ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
polisi wapo si hapa lakini kuhusu speed mi learnerUngetuambia na speed ya gari labda kidogo ningeshawishika na hii theory
Au police wapo kila km wanasubiri fines
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
polisi wapo si hapa lakini kuhusu speed mi learnerUngetuambia na speed ya gari labda kidogo ningeshawishika na hii theory
Au police wapo kila km wanasubiri fines
Jana nimepata message nyingi watu wakita kujua kati ya KIPCHOGE na BOLT nani zaidi! hivyo leo ninaweka analysis kidogo kuhusu hawa wawili na nani ni mkali zaidi!
Usain Bolt wa Jamaica na Eliud Kipchoge wa East Africa ni wababe wawili wa kukimbia duniani. Bolt ambaya amestaafu karibuni alikuwa bingwa wa kukimbia mbio fupi aliyeweka record na pia Kipchoge wa East Africa ni bingwa wa marathion aliyeweka record hivi karibuni.
Usain Bolt’s record yake katika mita 100-ni at 9.58 seconds wakati Eliud Kipchoge’s record yake katika marathon ya ni 1:59:40.
Kama tukijaribu kufananisha hypothetically, kwa Usain Bolt kusustain same speed kwa mbio za marathon inamaanisha angeweza kumaliza marathon ndani ya 1:07:22 (Almost nusu ya muda wa KIPCHOGE)! Je hii inamaanisha nini? BOLT ni zaidi ya KIPCHOGE?
HAPANA Haimaanishi hivyo, Marathon is not all about super speed, but kusustain na kukimbia umbali mrefu tofauti na mbio fupi ambazo BOLT ameweka record. Kwa hiyo watu hawa wawili ni mabingwa katika mbio lakini huwezi sema yupi ni zaidi ya yupi. Kila mmoja ni mzuri katika umbali wake.
..
Rekebisha hapo huyo ni bingwa wa dunia anayevunja record zake mwenyewe na sio aliye weka rekodi hivi karibuni ndie bianadamu aliekua katumia 2:13 :09 katika Marathon akaendelea kupunguza mpaka kufikia kutumia less than 2hrs katika Marathon yaani 42km na ushee chini ya masaa mawili kitu ambacho mpaka sasa hakuna mwanadamu yoyote aliekifanya.
tena sio punda Bob, itakuwa PEPOPUNDA!~
Mkuu mpe PUNDA heshima yake!
Huyo sio PUNDA wala KOBE! Huyo ni KENGE
UMBALI WA KUTOKA MBEYA MJINI MPAKA TUKUYU NI 42KM NA GARI HUWA ZINATUMIA MASAA 2 IKUMBUKWE KUWA BARABARA NI LAMI TUPU...SASA HUYO KIPCHOGE KAKIMBIA MASAA 2 KASORO huyo SIYO mtu Wa kawaida itakua wanatumia madawa hao bwana

Yaani gari inatembea 21km kwa saa nzima
Mkuu una uhakika kuwa ni gari hiyo au punda
Mkomkoteni wa punda labda
Mhh.! kwa hiyo gari inatembea km 21 kwa saa kwenye barabara ya lami?UMBALI WA KUTOKA MBEYA MJINI MPAKA TUKUYU NI 42KM NA GARI HUWA ZINATUMIA MASAA 2 IKUMBUKWE KUWA BARABARA NI LAMI TUPU...SASA HUYO KIPCHOGE KAKIMBIA MASAA 2 KASORO huyo SIYO mtu Wa kawaida itakua wanatumia madawa hao bwana
UMBALI WA KUTOKA MBEYA MJINI MPAKA TUKUYU NI 42KM NA GARI HUWA ZINATUMIA MASAA 2 IKUMBUKWE KUWA BARABARA NI LAMI TUPU...SASA HUYO KIPCHOGE KAKIMBIA MASAA 2 KASORO huyo SIYO mtu Wa kawaida itakua wanatumia madawa hao bwana
Yaani gari inatembea 21km kwa saa nzima
Mkuu una uhakika kuwa ni gari hiyo au punda
Atakua ana maanisha trekta uyu [emoji23][emoji23][emoji23]