Eliud Kipchoge Vs Usain Bolt nani zaidi: Analysis

Eliud Kipchoge Vs Usain Bolt nani zaidi: Analysis

Rekebisha hapo huyo ni bingwa wa dunia anayevunja record zake mwenyewe na sio aliye weka rekodi hivi karibuni ndie bianadamu aliekua katumia 2:13 :09 katika Marathon akaendelea kupunguza mpaka kufikia kutumia less than 2hrs katika Marathon yaani 42km na ushee chini ya masaa mawili kitu ambacho mpaka sasa hakuna mwanadamu yoyote aliekifanya.
Jana nimepata message nyingi watu wakita kujua kati ya KIPCHOGE na BOLT nani zaidi! hivyo leo ninaweka analysis kidogo kuhusu hawa wawili na nani ni mkali zaidi!

Usain Bolt wa Jamaica na Eliud Kipchoge wa East Africa ni wababe wawili wa kukimbia duniani. Bolt ambaya amestaafu karibuni alikuwa bingwa wa kukimbia mbio fupi aliyeweka record na pia Kipchoge wa East Africa ni bingwa wa marathion aliyeweka record hivi karibuni.

Usain Bolt’s record yake katika mita 100-ni at 9.58 seconds wakati Eliud Kipchoge’s record yake katika marathon ya ni 1:59:40.

Kama tukijaribu kufananisha hypothetically, kwa Usain Bolt kusustain same speed kwa mbio za marathon inamaanisha angeweza kumaliza marathon ndani ya 1:07:22 (Almost nusu ya muda wa KIPCHOGE)! Je hii inamaanisha nini? BOLT ni zaidi ya KIPCHOGE?

HAPANA Haimaanishi hivyo, Marathon is not all about super speed, but kusustain na kukimbia umbali mrefu tofauti na mbio fupi ambazo BOLT ameweka record. Kwa hiyo watu hawa wawili ni mabingwa katika mbio lakini huwezi sema yupi ni zaidi ya yupi. Kila mmoja ni mzuri katika umbali wake.

..
 
Rekebisha hapo huyo ni bingwa wa dunia anayevunja record zake mwenyewe na sio aliye weka rekodi hivi karibuni ndie bianadamu aliekua katumia 2:13 :09 katika Marathon akaendelea kupunguza mpaka kufikia kutumia less than 2hrs katika Marathon yaani 42km na ushee chini ya masaa mawili kitu ambacho mpaka sasa hakuna mwanadamu yoyote aliekifanya.

naweee! kwani BOLT sio bingwa wa dunia? kwani Kipchoge hajaweka record! kavunja record na kuweka record.

hawa wote wawili huwezi sema yupi mkali kumzidi mwezie, kila mtu mkali kivyake!
 
Mkuu mpe PUNDA heshima yake!
Huyo sio PUNDA wala KOBE! Huyo ni KENGE

Haaaa sasa umeharibu kabisa bora ungeachia kwa Kobe ila kenge akiona mvua umeona speed yake? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hiyo itakua guta yaani barabara ya lami gari itume saa 2 kutembea...punguza chai
UMBALI WA KUTOKA MBEYA MJINI MPAKA TUKUYU NI 42KM NA GARI HUWA ZINATUMIA MASAA 2 IKUMBUKWE KUWA BARABARA NI LAMI TUPU...SASA HUYO KIPCHOGE KAKIMBIA MASAA 2 KASORO huyo SIYO mtu Wa kawaida itakua wanatumia madawa hao bwana
 
Nyoosha maelezo kuwa KAPCHOGE WA KENYA na sio EA pekee
 
Nafikiri umesimuliwa au huwa unapanda gari bovu la malori.
Hakuna gari nzima inaweza kutembea masaa 2 kwa km 42
UMBALI WA KUTOKA MBEYA MJINI MPAKA TUKUYU NI 42KM NA GARI HUWA ZINATUMIA MASAA 2 IKUMBUKWE KUWA BARABARA NI LAMI TUPU...SASA HUYO KIPCHOGE KAKIMBIA MASAA 2 KASORO huyo SIYO mtu Wa kawaida itakua wanatumia madawa hao bwana
 
UMBALI WA KUTOKA MBEYA MJINI MPAKA TUKUYU NI 42KM NA GARI HUWA ZINATUMIA MASAA 2 IKUMBUKWE KUWA BARABARA NI LAMI TUPU...SASA HUYO KIPCHOGE KAKIMBIA MASAA 2 KASORO huyo SIYO mtu Wa kawaida itakua wanatumia madawa hao bwana
Mhh.! kwa hiyo gari inatembea km 21 kwa saa kwenye barabara ya lami?
 
Km42 kwa saa 1 na dk 59 ni sawa na speed 21.... kph mbona ni kawaida mkuu
UMBALI WA KUTOKA MBEYA MJINI MPAKA TUKUYU NI 42KM NA GARI HUWA ZINATUMIA MASAA 2 IKUMBUKWE KUWA BARABARA NI LAMI TUPU...SASA HUYO KIPCHOGE KAKIMBIA MASAA 2 KASORO huyo SIYO mtu Wa kawaida itakua wanatumia madawa hao bwana
 
Nyoosha maelezo kuwa KAPCHOGE WA KENYA na sio EA pekee

Nani kakwambia KIPCHOGE sio wa EAST AFRICA??? tena east Africa inacomprise TANZANIA, UGANDA and kenya!
 
Back
Top Bottom