Eliza; wanawake tukienda geto kwa mwanaume, asipoonyesha kukuhitaji kimwili huwa tunarudi na stress

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Mwanadada Eliza ametoa Siri ambayo inawezekana wanaume wengi hawajui.

Eliza akiongea na mwandishi, ameulizwa swali ni kitu gani ambacho wanaume hawajui kuhusu wanawake? Eliza amejibu hivi.

"Kitu Ambacho wanaume hawajui ni kuwa, tukienda magetoni kuwatembelea halafu wasionyeshe hata dalili ya kutuhitaji Kimwili Huwa Tuna pata stress na kujiuliza maswali mengi, Yani tuna rudi nyumbani huku vichwani kumejaa maswali"

Eliza anasema ni Bora unihitaji nikunyime kuliko kutokuonyesha kabisa kunitaka unafanya niwe na mawazo mengi na kujiona wakawaida sana, Yani inafika muda wa kuondoka jitu una liambia, muda umefika naondoka, lenyewe lina kujibu, fresh karibu tena!! amesema hayo eliza.
1788980342668.png
 
View attachment 3667104
Namimi nikikuomba afu uninyime, bora nisikuombe kabisa.
 
Watafuta bikira kazi mnayo.
 
Ukisikia hizi code, fanya haraka upige.

-"leo sikai sana hapa"
-"Mbona uko busy na simu muda wote"
-"Nikilala usiniamshe"
-"Kuja huku hadi miezi mitatu ipite"
-"Leo kuna joto sana"
-"Mama amesema niwahi kurudi"
 
Usijaribu hii kitu ilibaki kidogo nifariki ,siku hiyo ningekufa nilikuwa kwenye dozi mtoto so akaja kunitembelea kama Mgonjwa AFU Nikala
Unakufaje kwani unaumwa dudu au?
 
Ukisikia hizi code, fanya haraka upige.

-"leo sikai sana hapa"
-"Mbona uko busy na simu muda wote"
-"Nikilala usiniamshe"
-"Kuja huku hadi miezi mitatu ipite"
-"Leo kuna joto sana"
-"Mama amesema niwahi kurudi"

🤣🤣🤣
 
Hiyo inaweza kuwa kweli kwa sababu hata hapa JF leo kuna jimama Lamomy limeandika uzi akisifu njemba kadhaa toka makundi mbalimbali kwenye jamii waliofanikiwa kuichapa ile kitu yake. Kupitia uzi wa Lamomy tunapata ushahidi usio na shaka kwamba kina dada wanapenda kitu yao ichapwe haswa.
 
Mwanadada Eliza ametoa Siri ambayo inawezekana wanaume wengi hawajui.

Eliza akiongea na mwandishi, ameulizwa swali ni kitu gani ambacho wanaume hawajui kuhusu wanawake? Eliza amejibu hivi.

"Kitu Ambacho wanaume hawajui ni kuwa, tukienda magetoni kuwatembelea halafu wasionyeshe hata dalili ya kutuhitaji Kimwili Huwa Tuna pata stress na kujiuliza maswali mengi, Yani tuna rudi nyumbani huku vichwani kumejaa maswali"

Eliza anasema ni Bora unihitaji nikunyime kuliko kutokuonyesha kabisa kunitaka unafanya niwe na mawazo mengi na kujiona wakawaida sana, Yani inafika muda wa kuondoka jitu una liambia, muda umefika naondoka, lenyewe lina kujibu, fresh karibu tena!! amesema hayo eliza.
View attachment 3667104
She dont mean it
 
Yaani yeye amekaa kwa kuwaza ngono tu? Polee yake.
 
Back
Top Bottom