Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Mwanadada Eliza ametoa Siri ambayo inawezekana wanaume wengi hawajui.
Eliza akiongea na mwandishi, ameulizwa swali ni kitu gani ambacho wanaume hawajui kuhusu wanawake? Eliza amejibu hivi.
"Kitu Ambacho wanaume hawajui ni kuwa, tukienda magetoni kuwatembelea halafu wasionyeshe hata dalili ya kutuhitaji Kimwili Huwa Tuna pata stress na kujiuliza maswali mengi, Yani tuna rudi nyumbani huku vichwani kumejaa maswali"
Eliza anasema ni Bora unihitaji nikunyime kuliko kutokuonyesha kabisa kunitaka unafanya niwe na mawazo mengi na kujiona wakawaida sana, Yani inafika muda wa kuondoka jitu una liambia, muda umefika naondoka, lenyewe lina kujibu, fresh karibu tena!! amesema hayo eliza.