Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Ahaahah..ushaambiwa ni Eliza inatosha 😂😂Dar mnajuaba wote eeh, na uyu ni Nani
Namimi nikikuomba afu uninyime, bora nisikuombe kabisa.Mwanadada Eliza ametoa Siri ambayo inawezekana wanaume wengi hawajui.
Eliza akiongea na mwandishi, ameulizwa swali ni kitu gani ambacho wanaume hawajui kuhusu wanawake? Eliza amejibu hivi.
"Kitu Ambacho wanaume hawajui ni kuwa, tukienda magetoni kuwatembelea halafu wasionyeshe hata dalili ya kutuhitaji Kimwili Huwa Tuna pata stress na kujiuliza maswali mengi, Yani tuna rudi nyumbani huku vichwani kumejaa maswali"
Eliza anasema ni Bora unihitaji nikunyime kuliko kutokuonyesha kabisa kunitaka unafanya niwe na mawazo mengi na kujiona wakawaida sana, Yani inafika muda wa kuondoka jitu una liambia, muda umefika naondoka, lenyewe lina kujibu, fresh karibu tena!! amesema hayo eliza.
View attachment 3667104
Usijaribu hii kitu ilibaki kidogo nifariki ,siku hiyo ningekufa nilikuwa kwenye dozi mtoto so akaja kunitembelea kama Mgonjwa AFU NikalaSheria ni moja..Hata niwe naumwa ukija kuniona na mimi nitakuona
Watafuta bikira kazi mnayo.Mwanadada Eliza ametoa Siri ambayo inawezekana wanaume wengi hawajui.
Eliza akiongea na mwandishi, ameulizwa swali ni kitu gani ambacho wanaume hawajui kuhusu wanawake? Eliza amejibu hivi.
"Kitu Ambacho wanaume hawajui ni kuwa, tukienda magetoni kuwatembelea halafu wasionyeshe hata dalili ya kutuhitaji Kimwili Huwa Tuna pata stress na kujiuliza maswali mengi, Yani tuna rudi nyumbani huku vichwani kumejaa maswali"
Eliza anasema ni Bora unihitaji nikunyime kuliko kutokuonyesha kabisa kunitaka unafanya niwe na mawazo mengi na kujiona wakawaida sana, Yani inafika muda wa kuondoka jitu una liambia, muda umefika naondoka, lenyewe lina kujibu, fresh karibu tena!! amesema hayo eliza.
View attachment 3667104
Unakufaje kwani unaumwa dudu au?Usijaribu hii kitu ilibaki kidogo nifariki ,siku hiyo ningekufa nilikuwa kwenye dozi mtoto so akaja kunitembelea kama Mgonjwa AFU Nikala
Ukisikia hizi code, fanya haraka upige.
-"leo sikai sana hapa"
-"Mbona uko busy na simu muda wote"
-"Nikilala usiniamshe"
-"Kuja huku hadi miezi mitatu ipite"
-"Leo kuna joto sana"
-"Mama amesema niwahi kurudi"
She dont mean itMwanadada Eliza ametoa Siri ambayo inawezekana wanaume wengi hawajui.