shem mi namsubiri Ben Saanane kwanza
ili nitoe ya moyoni,maskini Madame B,tunamuoneaaaa!!!
Hello wana Chitchat!
Ninaomba mpokee taarifa ya mahusiano mapya kati ya Elizabeth Dominic na Ben Saanane kuanzia leo.
Nimeyafiki mapinduzi haya kwa kuwa Madame B anamiliki SACCOS ya wanaume wakati Elizabeth Dominic hana wa kumpetipet. Tabia hii ya SACCOS ya Madame B imekuwa ikimuumiza sana Ben Saanane na kumnyima usingizi akiwaza ni lini atapata mke wake peke yake...! Hivyo leo wameamua kuungana na huyu kimwana kuwa kitu kimoja ili awe ana bofya akijisikia na sio kupangishwa foleni kama yuko clinic!
Nawatakia maisha mema ya ndoa yao!
I remain
Erickb52
Mwenyekiti wa Mahusiano
Special Copy: Madame B
Cc Arushaone Bishanga Chocs Arabela Filipo The secretary Mamndenyi Kaizer DEMBA sosoliso Paloma amu Heaven on earth Lady doctor charminglady C6 Fixed Point SnowBall gfsonwin snowhite Dark City sweetlady Blaki Womani PakaJimmy Mungi LiverpoolFC nitonye Avemaria beibe nasty Preta watu8 ladyfurahia measkron @ stevoh YNNAH KOKUTONA Excellent Katavi kiwatengu shansarie Passion Lady Mtoto halali na hela Mentor TANMO Ruttashobolwa-Mr Rocky Dena Amsi Slave KakaKiiza Nivea mimi49 zubedayo_mchuzi mwallu Mrembo by Nature Mzee Kongosho Baba V Mzee wa Rula marejesho Nicas Mtei Asprin chama-
hivi kumbe vin ........ ana wengi sana
afadhali ya yule M?
Halafu huyo pepo noma Arushaone
Wewe Elizabeth Dominick, uliza mie na my honey Ben Saanane tulipo.
Ben Saanane hana ubavu wa kuniacha mimi hata kwa chembe.
Hathubutu katu.
Copy kwa shem wangu Ritz.
Kwanza hata ukimchukua Ben Saanane, nitajikunyata kwa ZeMarcopolo, au nitamnyang'anya Mamndenyi huyo chama wake.
Chezea wanawake wa mjini.
Mjini msingi kiuno...
Copy kwa MKODOBWE INC
Lisa, snowhite, gfsonwin, Lady doctor, lara 1, kipipi, King'asti, amu, Paloma, mimi49, Blaki Womani, miss chagga, Heaven on earth, hapiness win, miss strong, tinna cute....njoeni tumsuteni Elizabeth Dominic...
Mwenyekiti Erickb52, natengua Uhusiano huu mpya.
Kwanza nina mimba yake ya miezi 6.
Copy kwa:
Mashemeji watu8, sosoliso, platozoom, mwekundu.
Mawifi: Chocs, mwallu, measkron, Munkari, charminglady (wa zamani)
Mabinamu: Mwita Maranya, Mr Rocky.
Mpwa: Paw.
Wanafunzi wangu Kaizer, Mentor.
Wadogo zangu wote, Dada zangu wote.
NAWATANGAZIA KUWA NAJUA KUPENDWA, SIJUI KUACHWA
Erickb52, kumbuka kuna Tindikali na sindano za kutobolea macho, Ohooo..!!!!!
We pokea rushwa tu.
Copy kwa Baba Mtumishi kandukamo1.
I love you only darling!
watu8 post yako haijazingatia haba langu....ulipaswa kusema Karibuni na sio Karibu....haji mwenyewe coz dunia haiaminiki siku hizi....
ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO
hana uadilifu kabisa
ndio maana mi nasema huyu mwenyekiti feki Erickb52 simtambui
Lady doctor,.....
Shem nimeshangaa hao waliotoa 'Likes'Kwenye hii thread ya Erickb52 kumbe walikua hawapendi uhusiano wetu na Madame B? Au ndo wamependa tuwe na Elizabeth Dominic maana Likes zao pia ni Utata!