Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Mkuu kifuatacho ni maandalizi ya pilau tu kwa hawa wawili kuungana
Kaka mambo niaje, kitambo sana arif....
Mi naomba mnipe tenda ya ukumbi kwa ajili ya maandilizi ya hicho kipunga...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kifuatacho ni maandalizi ya pilau tu kwa hawa wawili kuungana
yani we ndio umempindua madame wewe....
Kama huamini kaa chonjo....mapenzi yangu au mapenzi yetu na Ben Saanane ni ya kipekee, mi nasema ya kidigitali zaidi na kama alivyosema Erickb52 hapa ni touch screen tu hamna kubofyabofya na mipango ya Saccos. Umenipata?
Anatafuta replacement, huna broda wako aliye idle?
anamajeruhi ya kuolewa na King mswti Arushaone sasa anakomoa
Heeee
Yamekuwa hayo tena
mfadhili wetu?
yani we ndio umempindua madame wewe....
Kaka mambo niaje, kitambo sana arif....
Mi naomba mnipe tenda ya ukumbi kwa ajili ya maandilizi ya hicho kipunga...
Madame B mwaka huu wake,najua pamoja na kumiliki wanaume wengi ila kwa Ben Saanane ndiyo ilikuwa chaguo lake
Madame alianza kupinduka kabla ya kupinduliwa...heheh!!!
eti kumbe..
aniwache ni wakati wangu sasa
Habari ya mujini ni kuwa Ben Saanane na Elizabeth Dominic ni couple mpya.
mshenga ulishasajili SACCOS yako ya wanawake