Elizabeth Dominic ampindua Madame B kwa Ben Saanane

Elizabeth Dominic ampindua Madame B kwa Ben Saanane

Heeee........ngoja narudi sasa hiviiii......!
 
Kaka mambo niaje, kitambo sana arif....

Mi naomba mnipe tenda ya ukumbi kwa ajili ya maandilizi ya hicho kipunga...

Mambo poa watu8
Tumepotezana aisee ila nipo gado shahidi yangu Chocs
Ananitunza vema sema ananifungia ndani sana (Mambo ya Tanga)
 
Last edited by a moderator:
Haya mambo ya chit chat yangekuwa yanatokea in real world tungekuwa na majanga ya kutishi...

Babu DC!!
 
Besti unashabikia??
Ushawahi kupinduliwa wewe?

Hahahaaa Avemaria unataka kumpindua?
Halafu tangu jana nikikumbuka naangua kicheko ujue hahahahahaaa
Wera weraaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Duh. . . . vifanyio??!!
mmh yangu masikio mie!

Ndio mana yake...kuna watu wanajibinafsishia vifanyio viiiiingi hadi hawavitumii vizuri....sasa si bora wawagawie na wenzao wenye ukame navyo
 
Tenda tena? mi nilidhani kwa shughuli hii kubwa na ukitambua wazi mi ni mtu wako ungejitolea ukumbi bureee

Pesa kwanza undugu baadaye...heheh usinishangae kuna siku niliongezewa damu na madaktari kumbe ilikuwa ni damu ya Mchaga mmoja hivi.
 
Pesa kwanza undugu baadaye...heheh usinishangae kuna siku niliongezewa damu na madaktari kumbe ilikuwa ni damu ya Mchaga mmoja hivi.

Hahahahaaa
Kuna principle moja ya Accounts inasema "Business and business ownership are two different entities"
Hapo hata ukichukua pipi lazma ulipe ebooooo!
Hakuna undugu kwenye biashara
 
Haya mambo ya chit chat yangekuwa yanatokea in real world tungekuwa na majanga ya kutishi...

Babu DC!!

Hahahahaaa
Babu heshima yako!
Nimekumiss kwelikweli....!
Naomba ufikishe salamu zangu kwa mjukuu wako kipenzi Arabela
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa Avemaria unataka kumpindua?
Halafu tangu jana nikikumbuka naangua kicheko ujue hahahahahaaa
Wera weraaaaaaaaa

Nina ubavu wa kumpindua mtu mie? Akhaa
Hayo nawaachia wengine tu ndugu yangu. . . wanaoyaweza!

Alafu dah. . . hahahah yale ya jana tuyaache kama yalivyo aisee!! Unajua kuna settings huwa zinanizingua nataka niziharibu kabisa nianze upya.....manake kuna kila dalili ya kuaibika mchana kweupeee! LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom