Elizabeth Dominic ampindua Madame B kwa Ben Saanane

Elizabeth Dominic ampindua Madame B kwa Ben Saanane

Hello wana Chitchat!
Ninaomba mpokee taarifa ya mahusiano mapya kati ya Elizabeth Dominic na Ben Saanane kuanzia leo.
Nimeyafiki mapinduzi haya kwa kuwa Madame B anamiliki SACCOS ya wanaume wakati Elizabeth Dominic hana wa kumpetipet. Tabia hii ya SACCOS ya Madame B imekuwa ikimuumiza sana Ben Saanane na kumnyima usingizi akiwaza ni lini atapata mke wake peke yake...! Hivyo leo wameamua kuungana na huyu kimwana kuwa kitu kimoja ili awe ana bofya akijisikia na sio kupangishwa foleni kama yuko clinic!
Nawatakia maisha mema ya ndoa yao!

I remain
Erickb52
Mwenyekiti wa Mahusiano

Special Copy: Madame B

Cc Arushaone Bishanga Chocs Arabela Filipo The secretary Mamndenyi Kaizer DEMBA sosoliso Paloma amu Heaven on earth Lady doctor charminglady C6 Fixed Point SnowBall gfsonwin snowhite Dark City sweetlady Blaki Womani PakaJimmy Mungi LiverpoolFC nitonye Avemaria beibe nasty Preta watu8 ladyfurahia measkron -@stevoh kiwatengu shansarie Passion Lady Mtoto halali na hela Mentor TANMO Ruttashobolwa-Mr Rocky Dena Amsi Slave KakaKiiza Nivea mimi49 zubedayo_mchuzi mwallu Mrembo by Nature Mzee Kongosho Baba V Mzee wa Rula marejesho Nicas Mtei Asprin chama-

Yethu wangu... Kumbe safari yooote alopanga Elizabeth Dominic ilikuwa ni ya kwenda kufanya hivi........

I salute u mamito!!!

Wapi ubwabwaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha ninune nipunguze siku za kuishi....!

Asiyekubali kushindwa...namsubiri my wii Madame B akuje atoe tamko
we chekelea tu ngoja na wewe upinduliwe. Madame B usikubali kuachia ngazi kirahisirahisi banana hadi kieleweke.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
huyu Erickb52 nae ni majanga tuu ndugu yangu, mwenyekiti gani anaruhusu mapinduzi katika mapenzi utafikiri tupo jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo??

Mi ni majanga kweli na sishangai....watu wanaopiganiaga haki za watu huwa ni mwiba kwa wezi na wapenda dhuruma....sasa iweje Madame B amiliki vifanyio sita mwenyewe?
Kwani anaona wengine vifanyio vyao havipendi kucheza na wenzao?
Eboooo haki sawa DEMBA
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
we chekelea tu ngoja na wewe upinduliwe. Madame B usikubali kuachia ngazi kirahisirahisi banana hadi kieleweke.

Hahahaa hapa hapinduliwi mtu...! Chocs ni wangu wa kufa na kuzikana....siku hizi ushaniona na SACCOS DEMBA ?
Naipenda sana ndoa yangu ukizingatia tuko busy kusaka kazaigot na Chocs wangu hahahaaa
Wera weraaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mi ni majanga kweli na sishangai....watu wanaopiganiaga haki za watu huwa ni mwiba kwa wezi na wapenda dhuruma....sasa iweje Madame B amiliki vifanyio sita mwenyewe?
Kwani anaona wengine vifanyio vyao havipendi kucheza na wenzao?
Eboooo haki sawa DEMBA

Duh. . . . vifanyio??!!
mmh yangu masikio mie!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom