Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,534
- 11,449
- Thread starter
- #81
Nina ubavu wa kumpindua mtu mie? Akhaa
Hayo nawaachia wengine tu ndugu yangu. . . wanaoyaweza!
Alafu dah. . . hahahah yale ya jana tuyaache kama yalivyo aisee!! Unajua kuna settings huwa zinanizingua nataka niziharibu kabisa nianze upya.....manake kuna kila dalili ya kuaibika mchana kweupeee! LOL
Hahahahaaa yan bora uanze upya maana la jana ni JANGA haswaaaaaa lol
Mbafu sangu sinauma kwa kicheko aisee lol