Elizabeth Dominic ampindua Madame B kwa Ben Saanane

Elizabeth Dominic ampindua Madame B kwa Ben Saanane

Hakuna kama wewe mpenzi wangu!
Huyo Avemaria anakutisha tu sina mpango wa kuhamia airtel
Nakupenda kuliko kitu chochote (Unalijua hilo)

Hivi kosa langu ni kucomment au kuna lingine?
Mbona mnaniweka kwenye vipengele visivyonihusu?

Haya bana. . . . nyie endeleeni tu.
 
Last edited by a moderator:
Eliza usitishwe na watu8
 
Last edited by a moderator:
hahahaa hapa hapinduliwi mtu...! chocs ni wangu wa kufa na kuzikana....siku hizi ushaniona na saccos demba ?
Naipenda sana ndoa yangu ukizingatia tuko busy kusaka kazaigot na chocs wangu hahahaaa
wera weraaaaaa
unajikoshatu hapa ili mkeo akuone ni muaminifu kumbe hakuna kitu. Kutwa kutongoza wanawake humu
 
Back
Top Bottom