Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
haaaaaa game ya Mamndenyi sijaiona hivyo viwango sio mchezo!!! Madame B namuunganisha na Bujibuji mdhamini mwenyewe nikishirikiana na Mamndenyi lazima mtoto ale raha Ben Saanane anakimbia gharama hana lolote tangu lini muhogo ukawa chakula??? Anamlisha Madame B wa kuchemsha akiubadili anauita chips dume! Akimtoa out usafiri bodaboda; wakiingia Club kinywaji maji yametiwa limao; kama unavyojua Ben Saanane mtu wa hesabu!!
chama, niache nipumue na my sweet.
Kawalia nini!
Yaani nakwambia 2015 lazima mkalie upanga na Tutawaburuza mpaka mtujue sie M4C ni nani.
Muache Ben Saanane wangu atulie, mwanaume wa shoka, kifua Six pack.
Last edited by a moderator: