Naomba sana usiniingilie kwenye mahusiano yangu na mke wangu mpenzi Lady doctor. Tunatoshana.
Hahahaha shem naona umetengua kauli kwa HERUFI KUBWA
Halafu shem wangu Ben Saanane mbona huonyeshi ushirikiano huku, wapambe tu ndio tunahangaika humu, ukuje tena basi utie neno!
Hahahahahaaaa shem umenichekesha sana aisee dah
Wala usihofu haya maneno tu hata kwenye upande wa khanga yapo
Sema huyu honey wangu nae muoga tukiwa zetu uko tunajiachiaa hapa anasitasita
Uwiiiii...yasije kuwa ka ya Wema na Diamond
Status yako please<br />By Elizabeth Dominic<br />
Wala usihofu haya maneno tu hata kwenye upande wa khanga yapo<br />
Sema huyu honey wangu nae muoga tukiwa zetu uko tunajiachiaa hapa anasitasita
<br />
Anaogopa kibuti cha madame.
Nakuelewa Passion Lady ila mwambie mumeo awe makini sana kuchezea kombora zito b52 akawaulize Tolabola watamwambia
Cc mimi mwenyewe
​sie tukae pambeni tuwachore tu!!my akanana Passion Lady kwakweli mapinduzi yamemuacha hoi Madame B
pacha uko poa wewe? Halafu shem Ruttashobolwa anavyo poteapotea hashindwi kuokota wa kukuvuruga shauri yako, ninasiri nyingi kuhusu shem ruta we baadae njoo home nikutonye
Hii shughuli ishaingia wapambe jamani mi kwa niaba ya Mume wangu naomba niseme mutuwachee nimemshauri asiseme sana bado tupo tunaongea na lawyer wetu Ruttashobolwa
Natambua na kuheshimu sana mamlaka ya Mwenyekiti Erickb52
hahahaaaaa!!!makubwa ya tolabola
honey Ruttashobolwa njoo jionee huku!!
pacha mi niko poa
hizo siri we baki nazo maana mimi presure
yangu ni ya kushuka nisije kufariki bure ila
nakuruhusu ukimkuta mazingira tatanishi mpige hata chupa
ya reception tu mi nikiona nitajua ulimfuma!!nimekuruhusu!!!
mwenyewe ameshakili alikuwa nao ila kwa sasa imebaki history
sasa uchokozi wangu uko wapi mke mwenza?