Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
huyu binamu yako anataka kuharibu jamvi hapa anikumbushia machungu ya kuachwa
sikufurahia ndo mana nimemwambia kuwa kwani kuwa na mentor siwezi kuishi?
apo chacha na urembo wote huo, tena cousin wangu uko fiti kila idara halafu wanakuletea mizinguo, hebu wakuwache upumue meeeeeeeeeeeeen!!!!!!
Maisha ni kujichagulia na sio kuchaguliwa!!!!
Erickb52 usimuudhi tena cousin wangu sawa, ukimuudhi tena tunakuchangia mabinti wote wa mzee wa tuktuku
Last edited by a moderator: