Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

Nilipokua kijijini uko kabla sijaja daslaam nilikua ninandoto za kuja kumwoa huyu dada ila hili limajizzo limekatisha ndoto zangu daaaah
[emoji3][emoji3]pole
 
Yaani Wema sijui alishindwa nini jamani kupata mume na yeye...dalili zinaonekana atazeeka bila mume.
Hapana riziki yake bado!!! Ataolewa tuu!!cha msingi atulie...

Natasha mwenyewe kaolewa miaka michache tu!![emoji3][emoji3][emoji3]tusimkatie tamaa ataolewa tu!
 
Na kalivyokua na akili hakukimbilia kujibebesha mimba kwanza
Umeona eehh!ana akili sana!alikua anazipunch kama zote hakutaka mimba ilisyo na baba au single mama!!!

Dogo anajielewa
 
Hapana riziki yake bado!!! Ataolewa tuu!!cha msingi atulie...

Natasha mwenyewe kaolewa miaka michache tu!![emoji3][emoji3][emoji3]tusimkatie tamaa ataolewa tu!
Hapana dada miaka 30 hata mchumba wa kueleweka hakuna lazima wananchi tuulizane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana dada miaka 30 hata mchumba wa kueleweka hakuna lazima wananchi tuulizane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hilo nalo neno ndo maana aunty kajituliza kwa mozee japo katoto!!hakuna kitu kibaya kama hichoo...!!

Wema mzuri sana Mungu amjaalie
 
We dini gani?
Wakristo kuoa au kuolewa si lazima.

Hata yesu aliwambia hivyo, waweza usioe na usiolewe ukaishi maisha yako.

Mapadri, masista na watawa hawana hizi mambo.
Kuzini ruhusa?kama kuoa au kuolewa sio lazima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…