Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
[emoji3][emoji3]poleNilipokua kijijini uko kabla sijaja daslaam nilikua ninandoto za kuja kumwoa huyu dada ila hili limajizzo limekatisha ndoto zangu daaaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]poleNilipokua kijijini uko kabla sijaja daslaam nilikua ninandoto za kuja kumwoa huyu dada ila hili limajizzo limekatisha ndoto zangu daaaah
tutabirie mkuu
Hapana riziki yake bado!!! Ataolewa tuu!!cha msingi atulie...Yaani Wema sijui alishindwa nini jamani kupata mume na yeye...dalili zinaonekana atazeeka bila mume.
eheheh kwani ulikua unatafuta nini mkuuKumbe huyo majizzo kafupi kama lulu mwenyewe [emoji15]
Umeona eehh!ana akili sana!alikua anazipunch kama zote hakutaka mimba ilisyo na baba au single mama!!!Na kalivyokua na akili hakukimbilia kujibebesha mimba kwanza
Hapana anastahiki lulu katulia sana wajifunze kwakehahahahhahahaaa naona unataka kuleta bifu lingine sasa
AmeenHongera kwao...namm nataka kumvisha pete Wema mwezi december
Hapana dada miaka 30 hata mchumba wa kueleweka hakuna lazima wananchi tuulizane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana riziki yake bado!!! Ataolewa tuu!!cha msingi atulie...
Natasha mwenyewe kaolewa miaka michache tu!![emoji3][emoji3][emoji3]tusimkatie tamaa ataolewa tu!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hilo nalo neno ndo maana aunty kajituliza kwa mozee japo katoto!!hakuna kitu kibaya kama hichoo...!!Hapana dada miaka 30 hata mchumba wa kueleweka hakuna lazima wananchi tuulizane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumuulize NinjaNani ameruhusu mfungwa kuchumbiwa?
Kwani kuoa lazima?Esma kampongeza Lulu kaah![emoji3][emoji3][emoji3]badala amlinganie kaka yake aoe aondokane na watoto wa nje na zinaa!mtihani kweli huu
daaahKanumba liked your post..
Kwa sisi tunaoamini dini kuoa na kuolewa ni lazimaKwani kuoa lazima?
We dini gani?Kwa sisi tunaoamini dini kuoa na kuolewa ni lazima
Kuzini ruhusa?kama kuoa au kuolewa sio lazima?We dini gani?
Wakristo kuoa au kuolewa si lazima.
Hata yesu aliwambia hivyo, waweza usioe na usiolewe ukaishi maisha yako.
Mapadri, masista na watawa hawana hizi mambo.
Kila raheri mkuuHongera kwao...namm nataka kumvisha pete Wema mwezi december
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila raheri mkuu