Ellon Musk aitaka Pentagon igharamie vita vyake yenyewe huko Ukraine

Ellon Musk aitaka Pentagon igharamie vita vyake yenyewe huko Ukraine

Tukiacha ushabiki Elon yupo sahihi,yeye ameshajitoa vya kutosha,pia yeye ni mfanyabiashara hafanyi kazi ya kabisa. Marekani hana budi abebe hizo gharama au asitishe huduma.
Elon musk amezira baada ya Ukraine na marekani kuupuzia ushauri wake ndo ameamua kususa, Elon musk mtoto WA juzi awaambie marekani kipi Cha kufanya sababu kushindwa kwa Ukraine ni kushindwa kwa marekani
 
Tajiri namba moja duniani anayemiliki mtandao wa Starlink ameiambia wazi wizara ya ulinzi ya Mareknani kuwa sasa itabidi waanze kugharamia mawasiliano hayo kwa Ukwani.Amesema kama ni sadaka tayari keshatoa zaidi ya dola milioni 80 kwa ajili ya vfaa 20000 ambavyo vimekuwa ni nguzo ya mawasiliano ya jeshi la Ukraine baada ya minara yote ya mitandao ya simu za mkononi kubomolewa na Urusi.
Akizidi kuipasha Pentagon Musk amesema iwapo kasi itakuwa hii kwa misaada yake ifikapo mwishoni mwa mwaka itakuwa ametumia dola milioni 100,Siwezi tena.....
Taarifa hiyo si ya mdomo na kupitia twitter yake pekee bali tayari ameshaiandikia Pentagon tangu mwezi uliopita.
Kuonesha jinsi vifaa hivyo vilivyo muhimu kwa Ukraine mshauri wa raisi Zelensky,Mykhailo Podolyak amebainsisha serikali yake itafanya kila juhudi ili mawasiliano hayo yaweze kuendelea.Akasema Musk amewasaidia sana kwa muda mrefu na biashara yake ina haki ya kuendelea kujimudu.
Yaani wapiga kura wa USA wanaenda kumlipa kijana toka Africa mamilion ya mtandao. US akili zao wanazijua
 
Watamnyoosha. USA sio wajinga, they always have a contingency plan, ukileta za kuleta ndio utajua kuwa kuna sheria nyingi tu uliwahi kuzifunja na wanazengo wakaweka kwenye mafaili.

Kuna dogo mmoja bilionea wa pharmaceutical companies alikomaa kupandisha bei ya dawa flani muhimu ya HIV, mwanzoni serikali ilimbembeleza sana lakini akakomaa, kilichompata ...
Kilimpata nn
 
We ndo nakushangaa unaposhupalia kwamba wanadaiwa Kwan ni ajabu mtu kudaiwa, unashangaa Elon musk kuwadai pentagon huku nchi za kiafrika zikiwa zinanuka madeni na huku ni maskini wa kutupa tuacheni unafki yaan unashangaa mtu kudai ajabu ni nin
Umepanic, ni habari kama habari nyingine na imetangazwa vyombo vikubwa tu sasa kumbe kuleta habari humu ni kushupalia? Kwa hiyo aljazeera na bbc nao wameshupalia?
Bwana Musk kasema walipe wasipolipa atasitisha huduma bwashee
 
Mtanzania unashangaa mtu au nchi kudaiwa, sijapanic ila nakushangaa ulivyokua mnafki
 
Kuna sehemu niliposhangaa, mimi nimekwambia alichosema musk kuwa wasipolipa atasitisha huduma wewe unapanic. Sasa sielewi kinachokupanikisha nini, fanya kunfuata twitter umchane musk mwenyewe
Huku wewe ukiendelea kushangaa marekani kudaiwa,Nikukumbushe nchi yako Tanzania inadaiwa pia
 
Narudia tena kuna sehemu imeandikwa ni ajabu, hapa tunaandika alichosema na kilichotamgazwa kwenye media, sasa sijui unabisha kuwa hakusema hivyo, au hakupeleka satelite zake kuwapa mawasiliano ukraine, au unabisha kuwa anaonge uongo kuwa mpaka sasa hajalipwa.
Hebu nieleze hapa unabisha nini au ni kosa kuzungumzia musk alichosema juu ya hayo malipo?
mkuu acha kubishana na hlo lindezi
 
Huku wewe ukiendelea kushangaa marekani kudaiwa,Nikukumbushe nchi yako Tanzania inadaiwa pia
Hivi kuna sehemu nimesema nimeshangaa marekani kudaiwa, mimi nisema kuwa musk akasema wasipolipa anasitisha huduma na ni habari imetangzwa na ikafika humu jf kama habari nyingine zinavyofika hapa.
Sasa unapanic watu kuleta habari ya marekani kudaiwa mkuu yaani una uchungu kuliko hata wamarekani wenyewe.
Usipanic shushia maji relax
 
Baada ya kampuni yake kupandisha bei ya dawa muhimu inaitwa Daraprim kwa zaidi ya 5,455% , alilalamikiwa kweli akajifanya mjanja. Baada ya hapo ilikumbana na kesi kadhaa, mwaka 2017 akahukumiwa kwenda gerezani pamoja na kulipa mamilioni ya dollars kama faini.
Hatari
 
Narudia kwani kudai ni ajabu na wamekuambia hawalipi
Wewe vipi ?...kasema keshasaidia sana.Na bila shaka kaona anaanza kudorora kiuchumi.Badala kulipa wewe wasema aendelee kudai.Mtu hajakulipa sasa unamuongezea bidhaa.
 
Back
Top Bottom