Ellon Musk aitaka Pentagon igharamie vita vyake yenyewe huko Ukraine

Ellon Musk aitaka Pentagon igharamie vita vyake yenyewe huko Ukraine

Ndio walipe sasa hii habari hata aljazeera na bbc wameirusha.
Walimwomba apeleke satelite zake pale ukraine mwanzoni mwa vita tu kama ambavyo kaombwa azipeleke Iran ili waandamanaji waendelee kupata internet.
Sasa kumbe anatoa msaada tu wakati yeye mfanyabiashara now either walipie huduma au asitishe, na ni njia ya mawasiliano wanyoitegemea na ndio maana mrusi kapeleka mtambo wa kujam mtandao wa hizo satelite
kobaz umevua nn ? mbona umesahau kuwa bbc ni wazee wa propaganda
 
Narudia tena kuna sehemu imeandikwa ni ajabu, hapa tunaandika alichosema na kilichotamgazwa kwenye media, sasa sijui unabisha kuwa hakusema hivyo, au hakupeleka satelite zake kuwapa mawasiliano ukraine, au unabisha kuwa anaonge uongo kuwa mpaka sasa hajalipwa.
Hebu nieleze hapa unabisha nini au ni kosa kuzungumzia musk alichosema juu ya hayo malipo?
ko ss hv mmehamia teamMusk sio ? vijora na kobaz zinawaharibu akiri
 
Tukiacha ushabiki Elon yupo sahihi,yeye ameshajitoa vya kutosha,pia yeye ni mfanyabiashara hafanyi kazi ya kabisa. Marekani hana budi abebe hizo gharama au asitishe huduma.
sijaona sehem wanasema Musk hayupo sahihi
 
ko ss hv mmehamia teamMusk sio ? vijora na kobaz zinawaharibu akiri
Hakuna team hapa, ila bwana Musk kasema anahitaji kulipwa ndivyo habari inavyosema. Sijui kwanini unapanic. Relax soma tena habari usipanic bwana mdogo
 
Ukraine walivyo na tabu wamamuingiza musk katik list ya maadui zaoView attachment 2387369
Wameshaanza kumuona kama Askari wa Russia
IMG_20221010_111228_152.jpg
 
Hilo ni swala dogo sana, kuna zaidi ya dola bilioni 600 za Russia zinazuiliwa katika nchi za magharibi na hasa Marekani na zingine tayari zinatumika katika kuifadhili Ukraine kwa idhini ya bunge la Congress la Marekani, sasa tatizo liko wapi hapo.
 
Back
Top Bottom