Ellon Musk aitaka Pentagon igharamie vita vyake yenyewe huko Ukraine

Tukiacha ushabiki Elon yupo sahihi,yeye ameshajitoa vya kutosha,pia yeye ni mfanyabiashara hafanyi kazi ya kabisa. Marekani hana budi abebe hizo gharama au asitishe huduma.
Elon musk amezira baada ya Ukraine na marekani kuupuzia ushauri wake ndo ameamua kususa, Elon musk mtoto WA juzi awaambie marekani kipi Cha kufanya sababu kushindwa kwa Ukraine ni kushindwa kwa marekani
 
Yaani wapiga kura wa USA wanaenda kumlipa kijana toka Africa mamilion ya mtandao. US akili zao wanazijua
 
Kilimpata nn
 
We ndo nakushangaa unaposhupalia kwamba wanadaiwa Kwan ni ajabu mtu kudaiwa, unashangaa Elon musk kuwadai pentagon huku nchi za kiafrika zikiwa zinanuka madeni na huku ni maskini wa kutupa tuacheni unafki yaan unashangaa mtu kudai ajabu ni nin
Umepanic, ni habari kama habari nyingine na imetangazwa vyombo vikubwa tu sasa kumbe kuleta habari humu ni kushupalia? Kwa hiyo aljazeera na bbc nao wameshupalia?
Bwana Musk kasema walipe wasipolipa atasitisha huduma bwashee
 
Mtanzania unashangaa mtu au nchi kudaiwa, sijapanic ila nakushangaa ulivyokua mnafki
 
Kuna sehemu niliposhangaa, mimi nimekwambia alichosema musk kuwa wasipolipa atasitisha huduma wewe unapanic. Sasa sielewi kinachokupanikisha nini, fanya kunfuata twitter umchane musk mwenyewe
Huku wewe ukiendelea kushangaa marekani kudaiwa,Nikukumbushe nchi yako Tanzania inadaiwa pia
 
mkuu acha kubishana na hlo lindezi
 
Huku wewe ukiendelea kushangaa marekani kudaiwa,Nikukumbushe nchi yako Tanzania inadaiwa pia
Hivi kuna sehemu nimesema nimeshangaa marekani kudaiwa, mimi nisema kuwa musk akasema wasipolipa anasitisha huduma na ni habari imetangzwa na ikafika humu jf kama habari nyingine zinavyofika hapa.
Sasa unapanic watu kuleta habari ya marekani kudaiwa mkuu yaani una uchungu kuliko hata wamarekani wenyewe.
Usipanic shushia maji relax
 
Huku wewe ukiendelea kushangaa marekani kudaiwa,Nikukumbushe nchi yako Tanzania inadaiwa pia
 
Hatari
 
Narudia kwani kudai ni ajabu na wamekuambia hawalipi
Wewe vipi ?...kasema keshasaidia sana.Na bila shaka kaona anaanza kudorora kiuchumi.Badala kulipa wewe wasema aendelee kudai.Mtu hajakulipa sasa unamuongezea bidhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…