Ellon Musk aitaka Pentagon igharamie vita vyake yenyewe huko Ukraine

kobaz umevua nn ? mbona umesahau kuwa bbc ni wazee wa propaganda
 
ko ss hv mmehamia teamMusk sio ? vijora na kobaz zinawaharibu akiri
 
Tukiacha ushabiki Elon yupo sahihi,yeye ameshajitoa vya kutosha,pia yeye ni mfanyabiashara hafanyi kazi ya kabisa. Marekani hana budi abebe hizo gharama au asitishe huduma.
sijaona sehem wanasema Musk hayupo sahihi
 
ko ss hv mmehamia teamMusk sio ? vijora na kobaz zinawaharibu akiri
Hakuna team hapa, ila bwana Musk kasema anahitaji kulipwa ndivyo habari inavyosema. Sijui kwanini unapanic. Relax soma tena habari usipanic bwana mdogo
 
Hilo ni swala dogo sana, kuna zaidi ya dola bilioni 600 za Russia zinazuiliwa katika nchi za magharibi na hasa Marekani na zingine tayari zinatumika katika kuifadhili Ukraine kwa idhini ya bunge la Congress la Marekani, sasa tatizo liko wapi hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…