Elon Musk aendelea kuishutumu Apple kuwa inatishia kuiondoa Twitter kwenye program zake

Elon Musk aendelea kuishutumu Apple kuwa inatishia kuiondoa Twitter kwenye program zake

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Elon Musk amesema Kampuni ya Apple imesitisha matangazo yake mengi kwenye mtandao wa Twitter na kuishutumu kampuni hiyo kwa kutishia kuiondoa Twitter kwenye program zake.

Mzozo huo umeibuka baada ya kampuni nyingi kusitisha matumizi kwenye Twitter hasa baada ya mipango ya mmiliki mpya wa mtandao huo, Musk katika kudhibiti maudhui.

Apple haijatoa majibu yoyote kutokana na shutuma hizo.

Musk amesema mapato ya Twitter yameshuka kwa kiwano kikubwa na kulamumu wanaharakati kwa madai kuwa wanawashinikiza watangazaji.

===============

Musk feuds with Apple over Twitter advertising

Elon Musk has said Apple has halted most of its advertising on Twitter and accused the company of threatening to remove the platform from its app store.

The feud comes as many companies have halted spending on Twitter amid concerns about Mr Musk's content moderation plans for the site.

Apple has not responded to requests for comment from the BBC.

Mr Musk has said Twitter has seen a "massive" drop in revenue, blaming activists for pressuring advertisers.

In a series of Tweets on Monday, he accused Apple of "censorship" and criticised its policies, including the charge it levies on purchases made on its app store.

"Apple has mostly stopped advertising on Twitter. Do they hate free speech in America?" he said.

Source: BBC

=====================

Elon Musk claims Apple has ‘threatened to withhold’ Twitter from its app store

Elon Musk on Monday claimed that Apple has “threatened” to pull Twitter from its iOS app store, a move that could be devastating to the company Musk just acquired for $44 billion.

“Apple (AAPL) has also threatened to withhold Twitter from its App Store, but won’t tell us why,” Musk said in one of several tweets Monday taking aim at Apple (AAPL) and its CEO for alleged moves that could undermine Twitter’s business.

In another tweet, Musk claimed that Apple has mostly stopped advertising on Twitter. “Do they hate free speech in America,” he said, in an apparent reference to his oft-stated desire to bolster his idea of free speech on the platform. “What’s going on here [Apple CEO Tim Cook]?” Musk added in a follow-up tweet. He also criticized Apple’s size, claimed it engages in “censorship,” and called out the 30% transaction fee Apple charges large app developers to be listed in its app store.

The tweetstorm highlights the tenuous relationship between Musk and Apple, which along with Google serves as the major gatekeepers for mobile applications. Long before taking over Twitter, the Tesla CEO said that when the car company was struggling, he considered selling the company to Apple, but that Cook refused to take a meeting with him.

Removal from Apple’s app store, or that of Google, would be detrimental to Twitter’s business, which is already struggling with a loss of advertisers following Musk’s takeover and a rocky initial attempt at expanding its subscription business.

Apple did not immediately respond to a request for comment on Musk’s tweets. The company has previously shown it’s willing to remove apps from its app store over concerns about their ability to moderate harmful content or if they attempt to circumvent the cut Apple takes from in-app purchases and subscriptions.

Source: CNN
 
Mr. Musk E km unaisoma hii comment uko ulipo nakwambia acha wajitoe watarudi wenyewe na wakirudi hakikisha wanarudisha hasara zote hadi wakate pumzi kenge hao na kenge wote waliojitoa watarudi wakirudi warudishe hasara zote zilizojitokeza walipojitoa wasikusumbue kichwa watarudi wenyewe it's matter of time.
 
Kweli ukizaliwa Afrika wewe ni mwafrika tu. Licha ya Musk kuwa na Akili nyingi za ubunifu lakini ana mambo mengi sana ya kishamba.
Ushamba gan mkuu? Kutafuta pesa ni ushamba? Usisahau kawekeza $ billion 44.5
 
Mr. Musk E km unaisoma hii comment uko ulipo nakwambia acha wajitoe watarudi wenyewe na wakirudi hakikisha wanarudisha hasara zote hadi wakate pumzi kenge hao na kenge wote waliojitoa watarudi wakirudi warudishe hasara zote zilizojitokeza walipojitoa wasikusumbue kichwa watarudi wenyewe it's matter of time
Mmmh! Siku zote ndani ya kichwa chako, haukosei ila turudi kwenye uhalisia kidogo. Iphone imepuga hatua kubwa sana kisoko. Ikiamua kuzuia matumizi ya twitter kwenye iPhone, roughly takriban watu mil 30 wataacha kuitumia twitter.

Ingekuwa tecno sawa ila iPhone ni brand ya Simu inayotumiwa n mastaa wakubwa na watu mashughuli duniani kwa wastan wa 80%. Inamaana, watapozuia matumizi ya twitter on iPhone, basi karibia 40% ya watu wenye wadhifa, viongozi n public figures aidha wataacha au kupunguza matumizi ya twitter which means twitter itapoteza wadhifa wake.

Kwa hivyo, Mr Elo sio mjinga kiasi cha kutoujua mchango wa kampuni ya iPhone kwa twitter. Maana kiuhalisia iPhone inaweza kusurvive bila twitter, ila twitter bila uwepo wa iPhone users n iPhone COMPANY HAIWEZI KUSURVIVE, TWITTER ITAKUFILIA MBALI. Ndio maana Mr musk ameishia kulalamika kiustaarabu bila ya nyodo kama anavyoropokagwa anapokasirishwa n mtu mmoja mmoja
 
Mmmh! Siku zote ndani ya kichwa chako, haukosei ila turudi kwenye uhalisia kidogo. Iphone imepuga hatua kubwa sana kisoko. Ikiamua kuzuia matumizi ya twitter kwenye iPhone, roughly takriban watu mil 30 wataacha kuitumia twitter. Ingekuwa tecno sawa ila iPhone ni brand ya Simu inayotumiwa n mastaa wakubwa na watu mashughuli duniani kwa wastan wa 80%. Inamaana, watapozuia matumizi ya twitter on iPhone, basi karibia 40% ya watu wenye wadhifa, viongozi n public figures aidha wataacha au kupunguza matumizi ya twitter which means twitter itapoteza wadhifa wake.

Mkuu upo serious kweli kwamba iPhone aipoteze twitter?
 
Umeeleweka mkuu kwa hio unamaanisha iPhone wanaenda kuunda Twitter yao kutoka kwa wale waliotengeneza Twitter OG ya E Musk au sio?
 
Mkuu upo serious kweli kwamba iPhone aipoteze twitter?
Labda ckueleweka.
Nguvu ya bidhaa yeyote ipo kwenye soko lake. Iphone imefanikiwa kujitengenezea wadhifa ambao umeishawishi dunia kuwa hakuna simu yenye ubora n yenye uwezo wa kuzificha siri za mtumiaji kama iPhone, mfano, sote tunaamini kuiflash Samsung galaxy s10+ inawezekana ila tunaamini iPhone 10 haiwezekani kuflashika.

Pia, iPhone ndio brand pekee ambayo haisumbuliwi n viruses ndio tofauti n cm nyingine zoteee n computers kama sikosei. Hivi vitu vidogo vimeifanya jamii yetu kuamini kila mwenye pesa anastahiki Kutumia iPhone, ndio maana asilimia kubwa ya mastaa, viongozi n watu wenye nyadhifa mbali mbali wengi hutumia iPhone.

Ila Kwa upande wa pili, twitter haina mshiko kama iPhone. Nikimaanisha, Kati ya watu 10 Tanzania, utakuta aidha ni mmoja au hakuna kabisa anayeitumia twitter. Kingine, kila mtu anatamani akipata pesa aje Kutumia iPhone angalau mara moja tu ndani ya maisha yake, lakini hakuna yeyote mwenye ndoto ya Kuja kuitumia au kujiunga twitter sababu tuna watsup, fcbuk, imo, hii jamii forums, eskimi, wechat..nk, inamaana twitter ina perfect replacements ndani ya maisha yetu.

Je unadhani iPhone ina replacement yeyote duniani??? HAINA! Kwa hivyo, twitter ikitolewa kwenye iPhone, watu hawatoacha Kutumia iPhone zao bila kisa hazina twitter. Ila on the other hand, watu wataendelea kutumia iPhones bila ya twitter. Ukizingatia iPhone hutumiwa haswa n watu wakubwa, basi twitter ikiwapoteza watumiaji wa iPhone itaathirika pakubwa. So twitter kwa iPhone ni underdog maana twitter is just but a famous blog ila iPhone kwa sasa ni uti wa mgongo wa mawasiliano kwa zaidi ya 20% ya watumiaji wote wa cm kubwa duniani. So twitter bila iPhone inaweza kufa ila iPhone bila twitter maisha ndala tu kama kawaida
 
Labda ckueleweka.
Nguvu ya bidhaa yeyote ipo kwenye soko lake. Iphone imefanikiwa kujitengenezea wadhifa ambao umeishawishi dunia kuwa hakuna simu yenye ubora n yenye uwezo wa kuzificha siri za mtumiaji kama iPhone, mfano, sote tunaamini kuiflash Samsung galaxy s10+ inawezekana ila tunaamini iPhone 10 haiwezekani kuflashika. Pia, iPhone ndio brand pekee ambayo haisumbuliwi n viruses ndio tofauti n cm nyingine zoteee n computers kama sikosei. Hivi vitu vidogo vimeifanya jamii yetu kuamini kila mwenye pesa anastahiki Kutumia iPhone, ndio maana asilimia kubwa ya mastaa, viongozi n watu wenye nyadhifa mbali mbali wengi hutumia iPhone.
Ila Kwa upande wa pili, twitter haina mshiko kama iPhone. Nikimaanisha, Kati ya watu 10 Tanzania, utakuta aidha ni mmoja au hakuna kabisa anayeitumia twitter. Kingine, kila mtu anatamani akipata pesa aje Kutumia iPhone angalau mara moja tu ndani ya maisha yake, lakini hakuna yeyote mwenye ndoto ya Kuja kuitumia au kujiunga twitter sababu tuna watsup, fcbuk, imo, hii jamii forums, eskimi, wechat..nk, inamaana twitter ina perfect replacements ndani ya maisha yetu.
Je unadhani iPhone ina replacement yeyote duniani??? HAINA! Kwa hivyo, twitter ikitolewa kwenye iPhone, watu hawatoacha Kutumia iPhone zao bila kisa hazina twitter. Ila on the other hand, watu wataendelea kutumia iPhones bila ya twitter. Ukizingatia iPhone hutumiwa haswa n watu wakubwa, basi twitter ikiwapoteza watumiaji wa iPhone itaathirika pakubwa. So twitter kwa iPhone ni underdog maana twitter is just but a famous blog ila iPhone kwa sasa ni uti wa mgongo wa mawasiliano kwa zaidi ya 20% ya watumiaji wote wa cm kubwa duniani. So twitter bila iPhone inaweza kufa ila iPhone bila twitter maisha ndala tu kama kawaida
we mtazamo wako ni wa hovyo sana
 
kwa hiyo watu wenye hela wanawaza kununua iphone ?
ushawahi kufika korea wewe ?
Tofauti yangu n yako, mimi niongelea katika mtazamo ya viatu vya mtanzania. Cwez kuiongelea Korea maana hawayaangalii maisha katika angle moja n wa tanzania.
 
Mmmh! Siku zote ndani ya kichwa chako, haukosei ila turudi kwenye uhalisia kidogo. Iphone imepuga hatua kubwa sana kisoko. Ikiamua kuzuia matumizi ya twitter kwenye iPhone, roughly takriban watu mil 30 wataacha kuitumia twitter. Ingekuwa tecno sawa ila iPhone ni brand ya Simu inayotumiwa n mastaa wakubwa na watu mashughuli duniani kwa wastan wa 80%. Inamaana, watapozuia matumizi ya twitter on iPhone, basi karibia 40% ya watu wenye wadhifa, viongozi n public figures aidha wataacha au kupunguza matumizi ya twitter which means twitter itapoteza wadhifa wake.
Kwa hivyo, Mr Elo sio mjinga kiasi cha kutoujua mchango wa kampuni ya iPhone kwa twitter. Maana kiuhalisia iPhone inaweza kusurvive bila twitter, ila twitter bila uwepo wa iPhone users n iPhone COMPANY HAIWEZI KUSURVIVE, TWITTER ITAKUFILIA MBALI. Ndio maana Mr musk ameishia kulalamika kiustaarabu bila ya nyodo kama anavyoropokagwa anapokasirishwa n mtu mmoja mmoja

Hapana twitter inapatikana pia kupitia twitter.com
 
Back
Top Bottom