dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
😂😂😂😂 Kudunda au kupata hasara wakati una develope iOS ni kitu cha kawaida sana, unaweza jipinda kinoma alafu pwaaa, wakati android hawana ulasimu kama iOS
MT4 imetumia nguvu(na akili) nyingi sana kwenye iOS kuliko kwa Android lakini jamaa wameichomoa kiulaini sana, ujinga ujinga tu, sina mzuka na iOS products hata kiduchu
ufungwa wa hali ya juu